Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 49,890
- 40,298
sifahamu gentleman😀😀 Lugha gani hii mkuu?
sifahamu gentleman😀😀 Lugha gani hii mkuu?
ok.Si umuunganishe na dada yako Grace Samia Suluhu, wewe mkuu pale Magogoni si kama kwako tu.

Nilikuachia ujumbe inbox
okey nacheki gentlemanNilikuachia ujumbe inbox

Umefanya sawa tu.Yeah, ni muhimu ajue. Hawezi kulala njaa wala kukosa pesa kidogo ya salon lakini ndo tunaanza kabisa chini kwenye grassroot
Ndio , kwani wanolewa majumbani waliotuli hawapo online ?mke anayepatika online utakuwa na ujasiri wa kusafiri na kumwacha nyumbani??
Kule zinawekwa picha za warembo na mahendisamu, watamkataa lazima.Umenyooka sana mabinti wasogee, ungepeleka tangazo na huko Facebook kabisa😀😀
Kwani, kuna watu umewatarget, mi nipo serious kabisaHaya mahaba Evelyn taratibu usije ukanikimbizia watu. Jamani, huyu anatania,,,
Inbox ndipo watu wanajadili. Ingia huko tujadilianeKwani, kuna watu umewatarget, mi nipo serious kabisa
Nlitaka uwazi mashemeji wanijueInbox ndipo watu wanajadili. Ingia huko tujadiliane
😀😀😀Nlitaka uwazi mashemeji wanijue
home of great bogazsiku hizi Jf sio Home of Great Thinker tena.....ni "Home of great sinker"
duhYupo wapi
Kule wamejaa machanguTumia hata dating site
Kule wamejaa machangu