leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,548
- 17,806
akishindwa kuelewa hapa basi akawe mchungaji awake ngombeKwa umri huo wewe sasa ni mhenga. Nakushauri: tafuta mshangazi wa maana uuweke ndani.
akishindwa kuelewa hapa basi akawe mchungaji awake ngombeKwa umri huo wewe sasa ni mhenga. Nakushauri: tafuta mshangazi wa maana uuweke ndani.
Mtego huo,shtuka mapema,Basi sawa subiri majibu.
Wanaume wengi wa umri wangu nilioongea nao hawajahi kabisa kuzitoa hizo bikra kiasi kwamba wanashangaa hiki kizazi kuweka kigezo cha bikra
Mbunye yake ya kimanyema ilivyo tamu ni lazima umsahau mdogo wangu.Utafanya jambo la maana sana coz huyu BICHWA KOMWE - ni kama ananipotezea muda tu.
Mi wananitega na nini!!! mi niko katika umri ambao nikitaka nimetaka na staki staki!!!!!Mtego huo,shtuka mapema,
Siku ukigundua kwanini wanakwambia hivyo ndio utanielewa kwanini nasema kua ni mtego.
,😀😀😀Kabla ya yote uninunulie jet tour T1
Hakikisha hati ya nyumba inasoma jina langu ndio tuendelee na process za ndoa☺️
Kumbe leo dada nae ni single. Sasa mbona unanipiga pin? Njooni tuyamalize.Mi wananitega na nini!!! mi niko katika umri ambao nikitaka nimetaka na staki staki!!!!!
Niko sehemu ambayo kabla hujajieleza najua unacho maanisha.
Mkuu huyo humuwezi,Kumbe leo dada nae ni single. Sasa mbona unanipiga pin? Njooni tuyamalize.
Hajakutana na code yake. Kuna namna akikutana na code inayomumaliza anatulia.Mkuu huyo humuwezi,
anapenda hela kuliko kula.
Sawa jaribu ila usije kulilia hapa JF,uende ukalilie mbali huko.Hajakutana na code yake. Kuna namna akikutana na code inayomumaliza anatulia.
😀😀😀Sawa jaribu ila usije kulilia hapa JF,uende ukalilie mbali huko.
Kivipi yani?
Hebu nyoosha maelezo bhana.
Unazingua bhana.Cha mbavu si kunikataa
Ulishanikataaga 🤦♀️
Niko menopause hunifai wewe ni mzee na mimi nina uchu zaidi ya kicheche.Kumbe leo dada nae ni single. Sasa mbona unanipiga pin? Njooni tuyamalize.
,😀😀😀Niko menopause hunifai wewe ni mzee na mimi nina uchu zaidi ya kicheche.