Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

N

ilidhani unazungumzia ke mkuu
Ke washatulia walikua na kaupepo kao kipindi flani naona Me mmeamua kuwapokea. Naona mkigeuka kutizamana kila moja anamwona mwenzake kazeeka ukipiga hatua kwa Gen Z kuwamudu mmnaona kuna kaugumu flani. Poleni sana
 
😀😀😀 Tunapokea hata Gen-Z mkuu. Kikubwa maelewano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom