SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,353
- 10,219
Huyu anataka kufa muacheHumu wanapeana moyo tu mwanaume kuanzia hiyo miaka kiuhalisia ni mzee tayari!! hapa aseme anatafuta binti anayeweza kuvumilia heka heka za mwanzo wa uzee bila hela.
Huyu anataka kufa muacheHumu wanapeana moyo tu mwanaume kuanzia hiyo miaka kiuhalisia ni mzee tayari!! hapa aseme anatafuta binti anayeweza kuvumilia heka heka za mwanzo wa uzee bila hela.
Simu ziitee
Hakuna anayekubali kufa kwenye njaa hiyo tuliweza sisi. kwa hawa Gen z asubiri muujiza wa miezi 6 halafu kimlambeHuyu anataka kufa muache
Aah,,, jamani,,, si kweli. Afya yangu ni njema sana. Kama yupo wewe mshtueDah 39 na unahitaji 25 mpaka 33 bora 33 mpaka 35 , maana 25 humpati mtu wa 25 ukaweza kumudu kwa mechi lazima unywe viagra plus ndio umuweze mana yeye ni fire .
Sijui lakini
😀😀Humu wanapeana moyo tu mwanaume kuanzia hiyo miaka kiuhalisia ni mzee tayari!! hapa aseme anatafuta binti anayeweza kuvumilia heka heka za mwanzo wa uzee bila hela.
Duh, jamaa yangu hatuchekani kwa kweli maana 39 imeenda sana ni kama mimi tu nilivyochoropoka. Mayatima tulipitia wakati mgumu sana. Mimi nilifanikiwa kwenye 37, lakini changamoto kubwa ni u mdomo zege nao unachangia sana! Sasa 39 yote hiyo mwenzangu ulikuwa wapi? Kazana mkuu utaachwa na SGR na hapo ulipofikia unaenda kuamua yeyote atakayekuja mbele yangu na mwisho wa siku unaenda kuambulia koroma.Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
Miaka 39 kumpata mwanamke lazima uwe na something special cha kumvutia huyo Mwanamke,probably money.Humu wanapeana moyo tu mwanaume kuanzia hiyo miaka kiuhalisia ni mzee tayari!! hapa aseme anatafuta binti anayeweza kuvumilia heka heka za mwanzo wa uzee bila hela.
Mtu wenu mpya wapi huko😂
Humu jf wewe ndio unachepukia changamkia fulsaMtu wenu mpya wapi huko😂
Kama moyo huo anao sawa.
Hahaaa sina ulimbukeni huo shoriiHumu jf wewe ndio unachepukia changamkia fulsa
Siwezi🙌🏾Kama moyo huo anao sawa.
Uzuri mimi nilishapitia up and down naelewa vizuri sana..
Acha tu humu zilipendwaKama moyo huo anao sawa.
Uzuri mimi nilishapitia up and down naelewa vizuri sana..
Asante sana bwana ice, kwa mara ya kwanza umenielewa.Miaka 39 kumpata mwanamke lazima uwe na something special cha kumvutia huyo Mwanamke,probably money.
kabisa da mauaAcha tu humu zilipendwa
HIvi da maua ni nani wengi mnaniitagakabisa da maua
Bro umefikiwa. Ole wako uzingue! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
We ndo nikupe mpwa wangu bule kabisa unipunguzie matatiza apa nyumbani....Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.