Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 964
- 1,826
Nipe connection za huyo mpagani Boss
Kulawa Mikese ghau wake tsakawa muganga wa Kingalu.
Ayu kalawa Nangaje.
Nipe connection za huyo mpagani Boss
Inategemea Mkuu.
Kama utaamua kuwa High profile kumbe we Low profile ni wewe tu jinsi ya kuzihimili presha
Apo Nimekuelewa mkuu ,✍🏾Inategemea Mkuu.
Kama utaamua kuwa High profile kumbe we Low profile ni wewe tu jinsi ya kuzihimili presha
kila la kheri gentleman,
Nakuombea Neema na Baraka za Mungu umpate alie mwema na sahihi, physically hapo hapo Morogoro na sio kupitia jf au mitandao mingine ya kijamii.
Kama ni mKristo mwenye nia na imani thabiti, hudhuria jumuiya na ibada za kila jumapili na makongamano ya vijana ya katikati ya wiki, na bilashaka yoyote Mungu atakuonyesha mchumba uliekua unamtafua kwa muda mrefu, nae akikitafu wewe pia. By Dec.2026 utakua umempata na Aug au Sept.2027 ukafunga ndoa takatifu.
kumbuka,
imeandikwa katika Wafilipi 4:6 kwamba,
Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na
😀😀 Lugha gani hii mkuu?View attachment 3692469
Kulawa Mikese ghau wake tsakawa muganga wa Kingalu.
amemaliza GentlemanNakuombea Neema na Baraka za Mungu umpate alie mwema na sahihi, physically hapo hapo Morogoro na sio kupitia jf au mitandao mingine ya kijamii.
Si ndiooDay after day,,,
huwa sikuelewi ila kwa hili....👍kila la kheri gentleman,
Nakuombea Neema na Baraka za Mungu umpate alie mwema na sahihi, physically hapo hapo Morogoro na sio kupitia jf au mitandao mingine ya kijamii.
Kama ni mKristo mwenye nia na imani thabiti, hudhuria jumuiya na ibada za kila jumapili na makongamano ya vijana ya katikati ya wiki, na bilashaka yoyote Mungu atakuonyesha mchumba uliekua unamtafua kwa muda mrefu, nae akikitafu wewe pia. By Dec.2026 utakua umempata mchumba, na by Aug au Sept.2027 ukafunga ndoa takatifu.
kumbuka,
imeandikwa katika Wafilipi 4:6 kwamba,
Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.![]()
ok.huwa sikuelewi ila kwa hili....👍

Hadi tarehe ya ndoa ikikaribia, haujapata bi harusi kabisa mi najitolea tu.....Evelyn Salt,,,tabia mbaya sitaki
😀😀Hadi tarehe ya ndoa ikikaribia, haujapata bi harusi kabisa mi najitolea tu.....
Kujitolea kuna masimango. Dakika mbili tu utasikia, "kwanza nimekùhurumia tu" 😀😀😀Hadi tarehe ya ndoa ikikaribia, haujapata bi harusi kabisa mi najitolea tu.....
Na nishaanza kukupenda tayari
Ndoa bila huruma yafaa nini bebeKujitolea kuna masimango. Dakika mbili tu utasikia, "kwanza nimekùhurumia tu" 😀😀😀
Si umuunganishe na dada yako Grace Samia Suluhu, wewe mkuu pale Magogoni si kama kwako tu.kila la kheri gentleman,
Nakuombea Neema na Baraka za Mungu umpate alie mwema na sahihi, physically hapo hapo Morogoro na sio kupitia jf au mitandao mingine ya kijamii.
Kama ni mKristo mwenye nia na imani thabiti, hudhuria jumuiya na ibada za kila jumapili na makongamano ya vijana ya katikati ya wiki, na bilashaka yoyote Mungu atakuonyesha mchumba uliekua unamtafua kwa muda mrefu, nae akikitafu wewe pia. By Dec.2026 utakua umempata mchumba, na by Aug au Sept.2027 ukafunga ndoa takatifu.
kumbuka,
imeandikwa katika Wafilipi 4:6 kwamba,
Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.![]()
Haya mahaba Evelyn taratibu usije ukanikimbizia watu. Jamani, huyu anatania,,,Na nishaanza kukupenda tayari
Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
Nahitaji mke wa kuoa mkuu. 😀😀😀View attachment 3692476
Ama vipi tukupatie mtoto wa Kisukuma
Huyo ni singleNahitaji mke wa kuoa mkuu. 😀😀😀
Anaweza akawa single lakini si wa kuoaHuyo ni single
Yeah, ni muhimu ajue. Hawezi kulala njaa wala kukosa pesa kidogo ya salon lakini ndo tunaanza kabisa chini kwenye grassrootHapo kwenye "Hatuna pesa mama ndo tutaanza kutafuta" bila shaka hapo baadhi yao umeshawafukuza.