Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
Mpagani ndiyo mpango wenyewe achana na hao wa dini za maboti
 
Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
kila la kheri gentleman,
Nakuombea Neema na Baraka za Mungu umpate alie mwema na sahihi, physically hapo hapo Morogoro na sio kupitia jf au mitandao mingine ya kijamii.

Kama ni mKristo mwenye nia na imani thabiti, hudhuria jumuiya na ibada za kila jumapili na makongamano ya vijana ya katikati ya wiki, na bilashaka yoyote Mungu atakuonyesha mchumba uliekua unamtafua kwa muda mrefu, nae akikitafu wewe pia. By Dec.2026 utakua umempata mchumba, na by Aug au Sept.2027 ukafunga ndoa takatifu.

kumbuka,
imeandikwa katika Wafilipi 4:6 kwamba,
Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. :NoGodNo:
 
Mtaani huku bado mabinti wanaishi maisha ya ndotoni kabisa. Nina ushuhuda mzuri sana. Ukimpata mtu hapa naamini atakuwa na uhitaji hasa kwahiyo hakuna kuzinguana.
huo uhitaji hasa anaokuwa nao wa hapa ni kutokana na matukio ambayo yameshamchapa....unachukua mtu ambaye tayari alishajeruhiwa, mtu ambaye kitu kidogo atakulinganisha na wanaume zaidi ya 10 ambao alishakuwa nao.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom