ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,596
Amin unaweza...be positive...sali weka hili kwenye maombi ikatae hiyo khali sio nzur kwa future use ha haha agrrrrrrrrasante mamy nimekuelewa mpenzi
Amin unaweza...be positive...sali weka hili kwenye maombi ikatae hiyo khali sio nzur kwa future use ha haha agrrrrrrrrasante mamy nimekuelewa mpenzi
Yaani wewe mtu ni mvuta bangi mzuri au muuza bangi sasa unatafuta wateja.
bangi si nzuri kabisa achana nayo
sawa wanaume wa dar. ila muache kulialia hovyo.Tungekuwa tunalima wote nyie mngekuwa mnapata hela wapi Mkuu?
Acheni chuki aisee!
Upo bibie??Amin unaweza...be positive...sali weka hili kwenye maombi ikatae hiyo khali sio nzur kwa future use ha haha agrrrrrrrr
sawa basiKwangu mie napendaga hivo yaani
kweli?Kwangu mie napendaga hivo yaani
Acha kumfundisha mwenzako kuvuta madawa ya kulevya.
bora unywe zako pombe achana na Bangi
Aisee, mnatakiwa mfanyie kazi anger management. Siku huzi kuna wataalamu wa kila fani. Pale MNH kuna wataalamu wazuri sana wa saikolojia na afya ya akili. Jaribuni kiwatembelea, wao wana njia nyingi za kufahamu shida iko wapi na jinsi ya kuwasaidia.Hapana, ulabu cjafanikiwa kutumia bali kichapo wengi wamechezea, nilinusurika kula risasi baada ya kutembeza kichapo kwa wenzangu na kazi nkapoteza, sikuishia hapo nilizingua police station ya wilaya flan kisa mmoja kaniudhi nako nilipona kula mvua za kutosha...kwa ufupi hasira zimehatarisha maisha yangu japo tukiongea huwezi amin kama ninaweza kukasirika..
Hii kitu mbaya sana Elli79
lakini ''baadhi'' ya thread unazoleta na michango unayotoa haisadifu hiyo kauli..Anyway...''sijali lolote'' ni neno zito kuliko pengine unavyolitamka/kumaanisha...hata nikiambiwa nimefiwa sijali ,sijui baba mgonjwa sijali nimekuwa sijali lolote naishi tu kama mungu alivonipangia
duuh haya endelea kuvuta bangiHujui chochote hivyo sio mbaya kwako kutomboka tombaka hovyo.
Bangi siwezi kuacha, na nina muda maalum wa kuvuta, nusu msokoto naenjoy nakuwa jirani alie niumba.
Pole sana mkuu ila ungesema ni pombe gani maana kuna pombe hiyo balaa tupu imesababisha hali imekuwa ngumuhabari zenu wakuu.
ninatatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa .. sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana ..
kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio lakutosha..
wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.
nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena...(japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe )
naombeni msaada nifanye nini napo kasirika ..
NB: nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa.
asanteni

ndio carokwani uanaijua vizuri
Aisee, mnatakiwa mfanyie kazi anger management. Siku huzi kuna wataalamu wa kila fani. Pale MNH kuna wataalamu wazuri sana wa saikolojia na afya ya akili. Jaribuni kiwatembelea, wao wana njia nyingi za kufahamu shida iko wapi na jinsi ya kuwasaidia.
Ndio ndugukweli?