Kuna kitu kinakustress,sasa lazima tujue,umeolewa,una mtoto ,watoto,uchumi ukoje,lifestyle,makuzi yako labda uliwahi kudhalilisha kijinsia ukiwa mdogo,
wazazi wako wapo hawapo.,labda ulishuhudia mamako akinyanyaswa na baba,au labda walikuacha ungali mdogo ukalelewa na mama wa kambo kwa manyanyaso etc,
kama tatizo liko serious,lazima background yako itambuliwe ili mtu ajue namna ya kukusaidia.
Ila kama tatizo liko skindeep,pengine frustration za maisha zinachangia tu,so you need to relax and take easy kwa kila kitu,