Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,506
hata nikiambiwa nimefiwa sijali ,sijui baba mgonjwa sijali nimekuwa sijali lolote naishi tu kama mungu alivonipangia
unaraha mamy ,, nitajaribu kuapply loh sijui kama nitawezamimi naona kila mtu hana maana kwangu hata akiniudhi hainipain sijali lolote!
ili anitoboe macho au?mcheki scorpion
so that could be where the problem is....swali ulilouliza la uzalilishaji hilo nilishasamehe mkuu ..
Hapana, ulabu cjafanikiwa kutumia bali kichapo wengi wamechezea, nilinusurika kula risasi baada ya kutembeza kichapo kwa wenzangu na kazi nkapoteza, sikuishia hapo nilizingua police station ya wilaya flan kisa mmoja kaniudhi nako nilipona kula mvua za kutosha...kwa ufupi hasira zimehatarisha maisha yangu japo tukiongea huwezi amin kama ninaweza kukasirika..Na wewe hasira inakufanya upige ulabu??
Baby!habari zenu wakuu.
ninatatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa .. sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana ..
kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio lakutosha..
wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.
nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena...(japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe )
naombeni msaada nifanye nini napo kasirika ..
NB: nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa.
asanteni
asante kaka nikipona uwii nahisi nitazidi kuwa mzuriso that could be where the problem is....
Yaweza kuwa uliamua kukaa kimya na kusamehe lakini kisaikolojia limekuathiri,kwa nchi za wenzetu kunakuwa na wataalamu kwa ishu kama hizo,
katika maisha haya jitahidi kuchukulia vitu simple,
kitendo tu cha kukasirika kwa style unayodai kuna ashiria kuna vitu vimejikusanya ndani yako ndo maana unakasirika kwa kulipuka kihivyo,
ha ha ha mi sio mtalaamu wa sikology lakini story yako imenikumbusha novel moja kuna mdada anaitwa michele nae alikuwa na hizo za kulipuka na kukandamiza mtu mangumi hata kwasababu kidogo tu,kumbe ndani mwake alikuwa na vitu kavihifadhi boyfriend wake alimtafutia headshrinker ndo akawa anahangaika kumrekebisha,kama vipi nikiipata link ntakutumia usomwe mwenzako alipona vipi
mimi ni mpenzi sana wa pombe yaani nisipikunywa hata siku mbili aah sioni raha japo najua kabisa kabisa sio nzuri,kweli kabisa asijaribu kuonja
asante baby. nilikuwa naficha usijue sema siku ningekufanyia ungeniogopaBaby!
Kwanza kabisa huabnakuambia hali hyo ikikutokea jaribu KUPUMZIKA.
Lakini pia jitahidi kufikiria jambo zuri balo ulikwisha fanya au kifanyiwa.
Usisahau katika kila jambo ABOVE ALL mwambie Mungu akushindie hitaji lako.
Wako akupendae
Bomouwa
HAHAH mimi nikikasirika navimba kama swila😱😱😱😱duh weka mbali na watoto
kweli kabisa si nzuri hata kidogo..mimi ni mpenzi sana wa pombe yaani nisipikunywa hata siku mbili aah sioni raha japo najua kabisa kabisa sio nzuri,
pombe huleta umasikini katika familia
pombe huleta magomvi.
pombe husababisha zinaa.
kwa ujumla pombe ni mbaya sana japo watu tunaipenda,
ila pombe ni mbaya zaidi kwa mtoto wa kike
acha pombemimi ni mpenzi sana wa pombe yaani nisipikunywa hata siku mbili aah sioni raha japo najua kabisa kabisa sio nzuri,
pombe huleta umasikini katika familia
pombe huleta magomvi.
pombe husababisha zinaa.
kwa ujumla pombe ni mbaya sana japo watu tunaipenda,
ila pombe ni mbaya zaidi kwa mtoto wa kike
ha ha ha ha ha duhHAHAH mimi nikikasirika navimba kama swila😱😱😱😱
Kama mapenzi sinakupa ya dhati eeeh!!!mapenzi yana maudhi
asante mkuu .. ngoja nimueleze mwenzangu awe ananishika kichwaNiliwahi kuwa na g/friend kipindi cha nyuma alikuwa na tatizo kama lako, akikasirika anaweza akakuua kama hauko makini na ilikuwa anakwambia kabisa kwamba natamani nikuue ili niwe na amani, nilikuja kufaulu kuondoa tatizo lake kwa kumweka karibu nami hasa pale anapokuwa kacharuka. Mwanzoni ilikuwa tabu kidogo vile nililazimika kutumia nguvu nyingi sana kumkamata na kumbembeleza kwa maneno ya kufanya hasira yake ishuke, nilikuja kugundua anapokuwa hasira zake zinamkamata kichwani~ basi ikawa nikimkamata nampet pet kichwa chake na maneno ya kumfariji haichukui muda analala usingizi. Nilifanya hivyo mara kadhaa pasi na kuchoka na Mungu ni muweza wa yote tatizo lake likapungua saana na baadae kwisha. Sasa hivi akikasirika anapuuza tu kisha anasamehe maisha yanasonga. Pole sana miss. chaga
ninywe nini?acha pombe
HahahahNjoo ulime wewe acha kuuza sura huko dar es salaam mnaanza kuchunguliana na dada zenu.
njoo msimu wa kuandaa mashamba ndio huu sasa.
njoo nkutafutie hata heka tano ulime mahindi
wewe huna tatizo mpenziKama mapenzi sinakupa ya dhati eeeh!!!