Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Ndg. Una maradhi yanayoitwa Mood Swing !! hiyo hutokana na misongo isiyo isha.. Sasa tulizana.. Tiba ikikuvamia pale ulipo ingia bafuni ujimwagie maji!!! Kama wee ni mwiSilam basi chukuwa udhu haraka... God bless you na good luck!!
amina na asante mkuu
 
asante mkuu nataka kupona
Hasira hasara, imeniletea hasara nyingi, kwa sasa ningekua nimechafuka mabegani lkn ilinitoa huko.
Nashukuru nimepona 85%
Ukiamua unapona na nirahisi mno kwa bahati mbaya muda ni mfinyu kwa sasa ningekusaidia...pole kipenzi
 
asante mpenzi ukipata nafasi nisaidie
 
Hasira hasara, imeniletea hasara nyingi, kwa sasa ningekua nimechafuka mabegani lkn ilinitoa huko.
Nashukuru nimepona 85%
Ukiamua unapona na nirahisi mno kwa bahati mbaya muda ni mfinyu kwa sasa ningekusaidia...pole kipenzi
Na wewe hasira inakufanya upige ulabu??
 
Ndio, sehemu ambayo haina kelele kabisaaa, halafu mie sio muumini wa pombe.
sehemu yoyote ile iliyotulia humfanya mtu kuwaza zaidi na kuwa na tafakuri kubwa zaidi.

so ukihitaji kuwaza vitu vya msingi nenda seshemu ya wewe peke yako kaa utulie hapo utawaza zaidi.

pia Pombe si nzuri haswa kwa watoto wa kike yaani usinywe pombe kabisa.

kama haunywi mshukuru Mungu wako.
 
kweli kabisa asijaribu kuonja
 
Mzee wa songea

Mambo vipi?
Njoo ulime wewe acha kuuza sura huko dar es salaam mnaanza kuchunguliana na dada zenu.

njoo msimu wa kuandaa mashamba ndio huu sasa.

njoo nkutafutie hata heka tano ulime mahindi
 
mimi naona kila mtu hana maana kwangu hata akiniudhi hainipain sijali lolote!
 
Back
Top Bottom