Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Pole sana.

1. Fikiri kabla ya kunena...
2. Ukikasirihswa na kitu, usikichukulie hatua hapo hapo, jipe muda kwanza wa kutulia...
3. Pendelea kufanya mazoezi. Unaweza ukaweka vitu kwako kama ka- panching bag kadogo, Kuna ile mipira mikubwa sana kama maputo chezea yale yanasaidia pia.
4. Pendelea kutafuta njia rahisi na nyepesi za kutatua matatizo yako ukiwa na hasira.
5. Nenda bafuni jifungie, lia mpaka utosheke ukimaliza oga maji ya moto, inasaidia pia.
 
Yesuu
 
Yaani hapo jitahidi ukikasirika usiwaze pombe mamy, mie huwa naliaga tuu na naenda sehemu iliyotulia mwenyewe kama masaa mawili narudi nyumbani. Namshukuru Mungu sijui ladha ya pombe
Sasa unakuwa unaona ni kimbilio mi naweza kupiga bia from moning to mornin staki kuwaza chochote shida inakuja pale ninapoamka na hangover


Nakuwa najioa matatizo yameisha wakati napiga bia counter na kupiga story mingi na kupigavwatu ofa
 
mapenzi yana maudhi
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mudavhuu shemela wako anahemea oxygen baada ya kumletea undava.... Kanijibu jambo lakawaida ila medula yangu imempa hukumu mbaya hahahaha na mie napiga mbuyu aka safari laga sitak hata kuskia mamesej yake yananipa kichefuchefu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Naomba nielewe kitu kabla sijakushauri

ukipata hasira ndo unaenda kunywa ili ulewe na uzime?
na ukishazima unaliwa? na yoyote alie karibu?
ndo hasira zinaisha after ?

nieleweshe hapo kwanza
Interesting... Huwa unapata hasira kiaha unaingia kaunta... Mi na aimu huwa natupa huko maana ukipiga naweza kukutukana kabisaa
 
Siivrahisi mkuu mimi nakasirika na tapika mwaka 2006 niliwahi kukasirika nikazimia nikajikutabhispital na drip mbili
 
Ule utafiti wa 4 by 2 unajidhihirisha....

yani mtu unaanza tu kasirika. How hopelessness. !!
 
pole dada,mwenyewe nilikuwa ivo...ilifikia hatua mkuu wangu kazn akinikera nilikuwa napanda juu ya meza au kiti kutukana au kutaka kumrukia afu huku nalia.Dawa kuu ni kuweka iman katika roho mtakatifu na kutambua kuwa ufanyayo unakosea....jifunze kuacha kila kitu kiende...acha kipite hata kama no quallel ya namna gan
 
[emoji15] [emoji23] [emoji23]
 
Inasikitisha sana..

siku ukiwa huna hela ya pombe ndo wanaume tutatukanwa na ubahili wetu mpaka vibamia. hahahahaha.

poleni. piga goti omba Mungu akupe Soulmate.
 
Sasa unakuwa unaona ni kimbilio mi naweza kupiga bia from moning to mornin staki kuwaza chochote shida inakuja pale ninapoamka na hangover


Nakuwa najioa matatizo yameisha wakati napiga bia counter na kupiga story mingi na kupigavwatu ofa
Pole
 
I know what you should do. Can i put it here or PM.
Speaking from experience from someone i know but now she is perfectly okey.
 
Unahitaj maombi ndugu..!!
Af uokoke.. xawaaa eee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…