Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu

Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu

Mkuu kama unakopa ili uanze kufanya biashara naogopa kwa niaba yako

Lakini yote kwa yote kila la heri
Unajua ukikaa ndan na makalatas unapiga mahesabu biashara na kuona mafaida mengi, ingia kwa vitendo SASA🤸🤸🤸

AFU hela ya mkopo na kuna watu wakikuona umefungua biashara furan nap wanafungua kama yako utazani wametumwa ili kukukomesha ushindwe kulipa mkopo
 
Kabisa, hesabu za karatasi zinaweza kukufanya ujione tajiri ndani ya muda mchache ilaaa yajayo yanasikitisha

Raha ya mkopo wa biashara uone trend ya mauzo yako kwanza
 
Naitaji msaada wa haraka

Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano.

Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani.

Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu gani niende navyo ili kupata mkopo.

NAJUA HASARA YA MKOPO ILA NINA SHIDA NAITAJI MSAADA JINSI YA KUPATA PESA.
Sema wewe ni Askari
 
Back
Top Bottom