Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu

Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu

Mkuu matumizi yake sio sawa na yako

Kuna mtu ukimtajia hela ambayo WEWE unaona unatoboa kwa mwezi anakushangaa na anaona haitoshi

Let's be humble kidogo
Mkuu, kuna kitu kinaitwa standard. Ndiyo maana nchi zinazojielewa huweka minimum salary kulingana na level na aina ya kazi. Mfano, UAE ina viwango maalum vya mishahara kwa baadhi ya professions.

Si kwamba kila mtu ana matumizi sawa, bali kuna basic cost of living ambayo lazima izingatiwe.

Mimi naweza kutumia mafuta ya kawaida ya korie, mwingine atanunua alizeti premium oil. Mimi perfume ya 6,000, tajiri ya milioni. Mimi nitaenda kazini kwa usafiri wa umma, tajiri atatumia Range Rover Autobiography mwaka wa mbele au LC300 kaweka FULL TANK. Hiyo ni lifestyle.

Lakini kwenye basic needs, hesabu lazima izingatiwe.

Kwa askari mwenye familia, laki 5 ni ndogo. Mshahara unatakiwa kuzingatia chakula, maji, usafiri, kodi, afya, watoto na gharama nyingine za msingi, pamoja na kiasi cha dharura.
 
Mmmmhu kumbe serikalini mishahara ni ya kawaida tu wakuu upo mambo ya ndani na unapokea laki 5?? Sema makandokando ni mengi ya kupiga mirunda nje ya mshahara huo
acha kukalili vitu ,serikalini mishahara ulipwa kutokana na vyeo ,muda wa mtu kazini na level ya elimu ,pia kila taasisi ina salary scale zake,kuna allowance tofauti tofauti kutokana na taasisi kuna watu kupitia ajira wanapiga mizigo kama wafanya boiashara tu
 
mh! haya maisha haya..yani nimeandika na kufuta zaidi ya mara tano..anyways kila kheri!
 
1. Andaa barua ya kuthibitishwa kazini

2. Andaa slip ya mshahara (kama sikosei ni current salary slip ya miezi mitatu kurudi nyuma)

3. Kitambulisho chako cha kazi

4. Namba ya nida

5. Kuna umhimu wa kuongea na mkuu wako akupe kiambata/barua.

Nje ya mada:
1. tumia ile posho inayotoka kati ya tarehe 1-4 kila mwezi kama matumizi yako

2. Huo mshahara wako, utumie kama saving angalau mwaka 1, utakuwa na mtaji angalau. (cetris peribus-usife, uwe hai)

3. Ili ufanikiwe namba 2 hapo juu, punguza matumizi ya hovyo na anasa.

4. Ili namba 1 hapo juu utoboe hakikisha mahtaji mhimu unayatoa shambani/unaenda mwenyewe shambani na si supermarket

NB: Kwa mtaji utakokusanya, fanya biashara ya mazao ya ziwani au shambani.
 
Mk
acha kukalili vitu ,serikalini mishahara ulipwa kutokana na vyeo ,muda wa mtu kazini na level ya elimu ,pia kila taasisi ina salary scale zake,kuna allowance tofauti tofauti kutokana na taasisi kuna watu kupitia ajira wanapiga mizigo kama wafanya boiashara tu
Mkuu twende taratibu! Yan kufanya kazi wizara ya mambo ya ndani ulipwe laki 5? Na mfanya usafi wa hizo ofisi analipwa kiasi gan?
 
Nikiwa kama mjasiliamali mwenze uzoefu WA karibu nusu ya maisha yangu nakushauri usikope USIKOPE USIKOPE USIKOPE
Kwa mshahara wako wa 500k na kwa umri wako hutakiwi kukimbilia huko, two yrs kazini bado mchanga Sana presha za marafiki zisikushawishi
Huo mkopo WA 20m utakatwa let's say 300k kwa miaka sita

Na Nina amini kwakuwa huna uzoefu WA hela nyingi na huna uzoefu WA biashara hiyo hela itaisha ndani ya miezi sita pekee halafu utaanza kuishi kwa 200k for 6 good years,

NB: Usianze biashara kwa mtaji WA kukopa
 
Back
Top Bottom