Bei Rahisi Stationary
Member
- Jul 28, 2026
- 29
- 62
- Thread starter
- #41
NdioSema wewe ni Askari
NdioSema wewe ni Askari
Uwekezaji mkuu, biashara yangu kwa sasa inamtaji wa million 8Kwa nini umetaka mkopo mkubwa namna hiyo, mtaji wako kwa sasa ni kiasi gani?
Natamani tu kujua namna ya usimamizi!!
Sorry hivi wafanyakazi wa wizara wanapokea pesa ndogo kiasi hiki? Laki 5 kwa Mwezi ni unskilled?Naitaji msaada wa haraka
Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano.
Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani.
Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu gani niende navyo ili kupata mkopo.
NAJUA HASARA YA MKOPO ILA NINA SHIDA NAITAJI MSAADA JINSI YA KUPATA PESA.
Sema wewe ni Askari
Ndiyo maana maaskari wana njaa sana...laki 5 unawezaje kusurvive kwa mwezi?Ndio
Kopa 3m-5m maximum, acha tamaa! Mtaji wa 8m unakopa 20m utaangukia pua walah.Uwekezaji mkuu, biashara yangu kwa sasa inamtaji wa million 8
HAHHAHAHANdio
Sawa MkuuKopa 3m-5m maximum, acha tamaa! Mtaji wa 8m unakopa 20m utaangukia pua walah.
Nalipwa million 1.5 ila nataka kuchukua mkopo 5Ndiyo maana maaskari wana njaa sana...laki 5 unawezaje kusurvive kwa mwezi?
Nalipwa million 1.5Sorry hivi wafanyakazi wa wizara wanapokea pesa ndogo kiasi hiki? Laki 5 kwa Mwezi ni unskilled?
Ukijumlisha posho inakuja million 2Nalipwa million 1.5 ila nataka kuchukua mkopo 5
Baada ya hapo sasa tafuta namna ya kukopa huko serikalini, ila mtaji wa 8m unaenda kopa 20m mmmh!! Hata hilo soko sidhani kama umeshalitengeneza!!Sawa Mkuu
Pamoja mkuu 🔥Mkuu jilipue tu ila usizamishe pesa yote cheza kama Pele
Ndiyo maana maaskari wana njaa sana...laki 5 unawezaje kusurvive kwa mwezi?
Kweli mkuu Mimi napokea million 1.5 ila nilanza apo kutaka kujua nawachora tuMkuu matumizi yake sio sawa na yako
Kuna mtu ukimtajia hela ambayo WEWE unaona unatoboa kwa mwezi anakushangaa na anaona haitoshi
Let's be humble kidogo
Kweli mkuu Mimi napokea million 1.5 ila nilanza apo kutaka kujua nawachora tu
Unawachora watoa ushauri tena. MakubwaKweli mkuu Mimi napokea million 1.5 ila nilanza apo kutaka kujua nawachora tu
Mkuu usiingie kwenye huu mtego wa wengi, tunaishi kwa maoni ya watu badala ya kuishi maisha yetu.Naitaji msaada wa haraka
Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano.
Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani.
Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu gani niende navyo ili kupata mkopo.
NAJUA HASARA YA MKOPO ILA NINA SHIDA NAITAJI MSAADA JINSI YA KUPATA PESA.