😳😳Pole sana mama huruma
😳😳Pole sana mama huruma
🤣😂😂kuna mtu anaelekezwa kibla apigwe apa,, ha haa
Natamani nikuone sio kwa utundu huuKamati ya roho mbaya tunakomenti humu kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mm natamani niwe nadharauHabari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante
Hahahahakuna mtu anaelekezwa kibla apigwe apa,, ha haa
Upo kama mimiMm natamani niwe nadharau
Yaani mtu wakupuuzia kitu nisijali
Lkn nashindwa et
Hahahahahah hautoamini [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Natamani nikuone sio kwa utundu huu
Hahahahaha nakupenda lakiniHahahahahah hautoamini [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
TunafananaUpo kama mimi
Tatizo hili huwa wanalo wanawake wengi nawajua....yaani hata ukiombwa papuchi huwezi mmkatalia mtu...mnaitwaga akina mama huruma.,ila huwa kuna namna ya kulipunguza tatizo hilo..pole sana ukihitaji ushauri nasaha ni pmHabari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante
Sasa ndo hapo nikiacha kuwasiliana na watu wanaonidharau wananisengenya Kia Nina roho mbaya...yani binadamu hawana shukurani
Hahaaaa duuh[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]Ha ha ha sijaachwa wala Ila nakuaga na hofu na sijiamini kabisa yaan me ni mrembo nikipita watu lazima wageuke Ila sijui Kwa nn sipo proud wala siringi..nataka niringe niwe kama wadada wengine wanaojiamini
hahaha fala ww
Unaelekea kuharibikiwa kabla hujaanza kuvimba ujue sifa ya uvimbe ni kukamuliwaHa ha ha sijaachwa wala Ila nakuaga na hofu na sijiamini kabisa yaan me ni mrembo nikipita watu lazima wageuke Ila sijui Kwa nn sipo proud wala siringi..nataka niringe niwe kama wadada wengine wanaojiamini
Ndo hivyo sasa nataka nijiamini mtu asinisumbue wala kunichukulia poaKuringa sio dili... muhimu kujiamini na kujielewa... Trust me, hivi karibuni nimekutana dada mrembo hasa, na nilipaswa kuwasiliana nae mambo fulani nikahisi nitachomeshwa mahindi na kuwekewa pozi za maringo... lakini alivyonipokea na na kunishughulikia bila maringo wala nyodo pamoja urembo wake kwa kweli nimetokea kumuheshimu kupita matarajio niliyokua nayo.
Usitamani kuwa na maringo, zaidi tamani kujiamini ndio itakua sawa.