Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,798
- 40,093
Unaweza ingia supermarket kama wale jamaa wa South ukaiba chakula, haimaaanishi kile ni chakula cha bure,Technology ni unlimited,kama watu wanaweza hack, kuchezea system ,nk nini wanashindwa?. Elimu ni pana huwa atujifungii kimazoea.
Eti leo watu wanahoji chanjo ya corona tafiti zake hazijachukua miaka kila siku sayansi inakimbia.Miti ilikuwa unasubiri miaka 15 hadi 20 ndipo uvune,siku hizi miaka 7 tu unavuna sababu ya technology imeleta dawa ya kufupisha time.
Mtu anaweza kukupa sadaka ya kitu haimaaanishi kimepatikana bure.
Zipo internet za wizi ila sio internet za bure, zipo wifi mitaani watu wanatumia bure ila haimaaanishi ni bure kama bure unakuta unaekewa matangazo na mambo mengine.
Kuna kamsemo fulani internet tu napenda kukatumia "if it's free you are the product"