Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

[emoji116]
Screenshot_20220312-100635.jpg
 
Gb 72 kwa mwaka ambayo kila mwezi unapewa GB 6…hyo ni sawa na kila wiki 1.5…GB 1.5 wiki nzima hapana kwa kwel mana hyo natumia siku moja tu
 
Ofa ofa!!!!Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Wanaohitaji njoo Pm
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]ikikupendeza pm
Eti PM?
 
Anaenda kupigwa Mtu Pm
 
Lzm kutaja sehemu unayoishi tena?
Kuna huduma za Unlimited zinapatikana baadhi ya maeneo mkuu

Ninekuuliza unaishi wapi kwasababu kampuni kama Zuku inatoa huduma ya unlimited internet maeneo ya katikati ya jiji la Dar Ea Salaam na baadhi ya maeneo kama Msasani, Obey, Masaki, Kinondoni.
 
Anaenda kupigwa Mtu Pm
Mkuu kama huwezi kuthubutu kumuamini mtu basi waache wanaothubutu kumuamini wafanye nao kazi.
Binafsi Mr Kiuno ameniunganisha bundle kiroho safi tu na hela yake nikampatia.
Sikuwa na mashaka yoyote.
 
Wacheki hawa jamaa
 
Ofa ofa!!!!Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Wanaohitaji njoo Pm
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]ikikupendeza pm
Karibu. 5G internet (Unlimited) itakufaa 30mbps ni 120,000 na 50mbps ni 150,000 tupigie 0745015421
 
Back
Top Bottom