Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

Habari za jioni.

Nna uhitaji wa huduma ya kupata internet unlimited ambayo ntakuwa nalipia gharama fixed kwa mwezi.

Nimechoshwa na vifurushi vya mitandao yetu
Mimi pia ninakerwa na mwenendo wa vifurushi, sema hii huduma ya unlimited ndio huwa sielewi. Naiona kwenye orodha ya vifurushi vya mtandao wa smile lakini sijahoji inakuwaje hiyo. Msaada tafadhali
 
kalonji,
Na video zilivyo na mstari mwekundu inaonekana unaziangalia kweli.

Sasa kama sumaku na viwembe zinakupa Internet why makampuni ya a hangaika kutuma satelite, kutangaza nyaya, kutengeneza modem kali etc.?

Kifupi mkuu internet haina tofauti na umeme ama dawasco, ni muunganiko wa mawasiliano Dunia nzima, ili uipate itakubidi utumie gateway ya mtu fulani iwe Tigo, voda, Zuku etc hata hizo wifi zina wamiliki wake, hakuna internet ya bure.
 

Humi JF kuna watu wana hewa kichwani usidanganywe na wahindi hap YouTube hamna kitu kama hicho huwezi kutumia internet bure

Internet ni biashara watu wana invest hela nyingi ili iwe connected unahizi hiyo minara servers umeme mafuta ya kuwasha hizo vifaa wanapewa bure kutoka space

Ebu kuwa wa kujifunza sio kupumbazwa
 
Back
Top Bottom