Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

Technology ni unlimited,kama watu wanaweza hack, kuchezea system ,nk nini wanashindwa?. Elimu ni pana huwa atujifungii kimazoea.
Eti leo watu wanahoji chanjo ya corona tafiti zake hazijachukua miaka kila siku sayansi inakimbia.Miti ilikuwa unasubiri miaka 15 hadi 20 ndipo uvune,siku hizi miaka 7 tu unavuna sababu ya technology imeleta dawa ya kufupisha time.
Unaweza ingia supermarket kama wale jamaa wa South ukaiba chakula, haimaaanishi kile ni chakula cha bure,

Mtu anaweza kukupa sadaka ya kitu haimaaanishi kimepatikana bure.

Zipo internet za wizi ila sio internet za bure, zipo wifi mitaani watu wanatumia bure ila haimaaanishi ni bure kama bure unakuta unaekewa matangazo na mambo mengine.

Kuna kamsemo fulani internet tu napenda kukatumia "if it's free you are the product"
 
True hata app za free matangazo kibao
 
Humi JF kuna watu wana hewa kichwani usidanganywe na wahindi hap YouTube hamna kitu kama hicho huwezi kutumia internet bure

Internet ni biashara watu wana invest hela nyingi ili iwe connected unahizi hiyo minara servers umeme mafuta ya kuwasha hizo vifaa wanapewa bure kutoka space

Ebu kuwa wa kujifunza sio kupumbazwa
Shauli zako mkuu wenzako tunatumia free internet mwaka nzima..
 
Haya kwa Wakazi wa Masaki, Oysterbay, Upanga na Sea view.. Fiber Network kutoka Raha ipo mlangoni kwako. Lipia speed, uenjoy Unlimited Internet.
Installation free, one month free.
0686590089
IMG-20210801-WA0003.jpg

IMG-20210801-WA0004.jpg
 
Mmh!! Mbona nimechelewa kujua. Maana sina kazi na internet kwangu ni muhimu. Najikuta najibana kwenye mambo mengine ili ninunue vocha kumbe naweza tumia bure. Toa elimu nikomboke mkuu
Naona una hamu ya kupigwa
 
Ndugu yangu kumbuka watu wengine internet ndio ofisi zao unashangaa hizo wakati kwa siku watu wanamaliza 120gb
Najua binafsi nafanya online ila mpo vizuri kwa matumizi, ila kama unatembelea 20mb/s bas hizo ni kawaida
 
Habari za jioni.

Nna uhitaji wa huduma ya kupata internet unlimited ambayo ntakuwa nalipia gharama fixed kwa mwezi.

Nimechoshwa na vifurushi vya mitandao yetu

Hupo dar kama hupo dar ila ni kwa ajili ya nyumbani uwezi tembea nayo.sababu inatumia vifaa ambavyo vinakaa sehemu moja
Nicheki pm
 
Back
Top Bottom