Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

mkuu nenda vodashop iliyokaribu nawe wakupe lain ambayo ni unlimited kwa ajili ya internet tu,bando zake zina vary kutoka 50GB/50K,100GB/80K n.k kwa mwezi achana na hiyo miserereko unayofundishwa huko mwisho wa siku utakuja ukamatwe ufunguliwe kesi ya uhujumu uchumi.speed yake inakaribia 5G sasa sio 4G ya kawaida.
 
Sasa hiyo ni unlimited kivipi wakati kuna limits hapo

50gb, 100 gb
 
Msuli unao mkuu??

Kuna nyumba ya ofisi Masaki, niliuliza wakasema wamefanya installation kwa 20mln.

Wanalipa kwa mwezi.
 
Mmh!! Mbona nimechelewa kujua. Maana sina kazi na internet kwangu ni muhimu. Najikuta najibana kwenye mambo mengine ili ninunue vocha kumbe naweza tumia bure. Toa elimu nikomboke mkuu
Ulichelewa wapi ndugu ?wenzio tupo kwenye ma vpn full internet muda wote ila simu inayo support android
 
Mimi naulizia kama naweza kuunganisha internet toka moja kwa moja makampuni ya nje
 
Jibu lake lazima aseme aliko?
Mimi nahitaji pia niko Dar
Kuna internet kama ya zukufiber inapatikana maeneo ya masaki, mikocheni,msasani, oysterbay, upanga na kariakoo baasi, haijasambaa maeneo mengine.

Ndio maana kamuuliza eneo alipo.
 
Haya kwa Wakazi wa Masaki, Oysterbay, Upanga na Sea view.. Fiber Network kutoka Raha ipo mlangoni kwako. Lipia speed, uenjoy Unlimited Internet.
Installation free, one month free.
0686590089View attachment 1876449

View attachment 1876451
Wanalipisha installation hao. Hao ni makaimu wa Raha.com.

Wanakuja wanapima umbali wa nyumba kutoka katika nguzo kisha utalipia zile nyaya na nguzo ikibidi. Jamaa ni kama tanesco.

Ikiwa ni kwenye ghorofa then hapo unakuwa haina gharama.
 
mkuu nenda vodashop iliyokaribu nawe wakupe lain ambayo ni unlimited kwa ajili ya internet tu,bando zake zina vary kutoka 50GB/50K,100GB/80K n.k kwa mwezi achana na hiyo miserereko unayofundishwa huko mwisho wa siku utakuja ukamatwe ufunguliwe kesi ya uhujumu uchumi.speed yake inakaribia 5G sasa sio 4G ya kawaida.
Hii mbona ipo hata kwenye line za kawaida?!
 
Waone Vodacom wanayo internet ya unlimited ambayo ina kwenda kwa speed ya 10mbps na 20 mbps kama sikosei.

Nakumbukuka nigharimu kama 120,000 hivi monthly. Installation ni free.
 
Wanalipisha installation hao. Hao ni makaimu wa Raha.com.

Wanakuja wanapima umbali wa nyumba kutoka katika nguzo kisha utalipia zile nyaya na nguzo ikibidi. Jamaa ni kama tanesco.

Ikiwa ni kwenye ghorofa then hapo unakuwa haina gharama.
Mkuu nathamini maoni yako. Ila hayana ukweli. Installation ni free kabisa endapo utakua kwenye mapitio ya Fiber network.
Na sio kwamba Wanakaimu, hii ni Raha yenyewe na sio kampuni ya kati.
Karibu uenjoy Speed with unlimited internet Streaming without Buffering.

Note; Masaki, Oysterbay, Upanga and Sea view
 
Back
Top Bottom