Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

Humi JF kuna watu wana hewa kichwani usidanganywe na wahindi hap YouTube hamna kitu kama hicho huwezi kutumia internet bure

Internet ni biashara watu wana invest hela nyingi ili iwe connected unahizi hiyo minara servers umeme mafuta ya kuwasha hizo vifaa wanapewa bure kutoka space

Ebu kuwa wa kujifunza sio kupumbazwa
Hii ni fasili yako kwa kile nilichopost. Mimi sipo kundi hilo unaloliongelea.

Aidha, japo sijafuatilia na hivyo sikatai wala kukubali ukweli wa taarifa hiyo, nikiikosoa siwezi kutumia kauli kama hii yako. Siku hizi ni zama za uelewa, teknolojia ipo juu. Chochote chawezekana. Cha msingi ni kutoa hoja zenye mashiko kwanini kitu hiki si kweli au ni kweli.
 
Na video zilivyo na mstari mwekundu inaonekana unaziangalia kweli.

Sasa kama sumaku na viwembe zinakupa Internet why makampuni ya a hangaika kutuma satelite, kutangaza nyaya, kutengeneza modem kali etc.?

Kifupi mkuu internet haina tofauti na umeme ama dawasco, ni muunganiko wa mawasiliano Dunia nzima, ili uipate itakubidi utumie gateway ya mtu fulani iwe Tigo, voda, Zuku etc hata hizo wifi zina wamiliki wake, hakuna internet ya bure.
Technology ni unlimited,kama watu wanaweza hack, kuchezea system ,nk nini wanashindwa?. Elimu ni pana huwa atujifungii kimazoea.

Eti leo watu wanahoji chanjo ya corona tafiti zake hazijachukua miaka kila siku sayansi inakimbia. Miti ilikuwa unasubiri miaka 15 hadi 20 ndipo uvune, siku hizi miaka 7 tu unavuna sababu ya technology imeleta dawa ya kufupisha time.
 
Ila kama wataka internet ya kutumia mwezi mbaka mwezi kuna kuna router za huawei izi router unalipia kulingan na speed ya internet kama sikosei kwa mwezi walipia laki na nusu za speed ya kawaida kama ya 4G pia inaweza kuunganisha vifaa vingi
 
Izo router hazina limit ya matumizi mbaka mwezi uwishe na wewe ndio wakosa internet kama unavyo lipia vingamuzi
 
Technology ni unlimited,kama watu wanaweza hack, kuchezea system ,nk nini wanashindwa?. Elimu ni pana huwa atujifungii kimazoea.
Eti leo watu wanahoji chanjo ya corona tafiti zake hazijachukua miaka kila siku sayansi inakimbia.Miti ilikuwa unasubiri miaka 15 hadi 20 ndipo uvune,siku hizi miaka 7 tu unavuna sababu ya technology imeleta dawa ya kufupisha time.
Unahoja👏👏👏
 
Back
Top Bottom