Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

Hili ndio suluhisho la matatizo. Hili kwakweli limekua msaada wangu. Ni tigo post paid mega bundles
Screenshot_20210714-220151_1.jpg
 
Technology ni unlimited,kama watu wanaweza hack, kuchezea system ,nk nini wanashindwa?. Elimu ni pana huwa atujifungii kimazoea.
Eti leo watu wanahoji chanjo ya corona tafiti zake hazijachukua miaka kila siku sayansi inakimbia.Miti ilikuwa unasubiri miaka 15 hadi 20 ndipo uvune,siku hizi miaka 7 tu unavuna sababu ya technology imeleta dawa ya kufupisha time.
Upo sawa ila uili uweze kufanikiwa kuhack inabidi uwe na vifaa expensive sana,siyo viwembe na simaku,hizo ni sarakasi za kwenye YouTube zinazowawezesha hao wanao upload huo upuuzi,waweze kigain viewership.
Kama mkuu Chief Mkwawa alivyoelezezea na ametoa mfano wa wa maji ya Dawasco ,ili uteke maji inabidi uwe umeunganishiwa line ya bomba,pia ameandika kuwa ili uweze kupata Internet inakulazimu upate gateway ambayo ni makampuni ya simu kama Tigo n.k .na mimi ninaposema unahitaji kuwa na vifaa expensive kuhack internet naongelea internet kama wanayotumia kwenye meli,wanapata moja kwa moja toka kwenye satellite na kifaa kinachotumika hapo kwenye meli kushusha internet kinagharimu mamilioni kadhaa,kwa hiyo ili uweze kuhack internet toka kwenye satellite inakubidi uwe na nyenzo unayo match ile ya kwenye meli,hapa nazungumzia meli kubwa mfano zile zinazobeba mafuta au zile za makontena.
 
Hii mbona ipo hata kwenye line za kawaida?!
sio sawa na hiyo, yenyewe inakua ni lain special tu kwa matumizi ya internet tofauti na hizo unazozifahamu.Lain za kawaida bando lake ndani ya nusu saa limekata lakini hiyo ni 4G na bando liko vile vile mwezi mzima
 
Dar kuna maeneo ndio yana hizo huduma kama vile Masaki, Oysterbay, Upanga, Posta, Kinondoni thats why nikamuuliza anaishi wapi?
tuna coverage kubwa hapa dar es salaam,kisarawe,mbeya na arusha na inawezekana kufunga na kupata internet unlimited na ndo habari ya mjini sasa hivi,
kama upo willing wasiliana nami kupitia
0713254553
Kapscom africa limited
 
mimi pia ninakerwa na mwenendo wa vifurushi, sema hii huduma ya unlimited ndo huwa sielewi. naiona kwenye orodha ya vifurushi vya mtandao wa smile lakini sijahoji inakuwaje hiyo. msaada tafadhali
mhh soma kwa umakini sana janjajanja zipo nying
 
Habari za jioni.

Nna uhitaji wa huduma ya kupata internet unlimited ambayo ntakuwa nalipia gharama fixed kwa mwezi.

Nimechoshwa na vifurushi vya mitandao yetu

Okei mm nilifatiliaa bongo Internet unlimited zipo tena ni bei chee changamoto inategemea na sehemu unayo hitaji na bei zake zinaanzia 65 kwenda juu and makampuni yanayo toaa ni zuku na ttcl

Mfano zuku wanatoaa ostabey,kariako,masaki mwisho
Tctl hii inachangamoto maana ipo kama zamani tulvyo kuwa tunavuta umeme au maji gharama zote zipo juu ya ww unae hitaji ila ipo dsm nzima
 
Back
Top Bottom