cleokippo JF-Expert Member Dec 21, 2014 2,074 1,706 Nov 18, 2023 #1 Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
Gabby msafi Member Apr 28, 2023 70 93 Nov 18, 2023 #3 cleokippo said: Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtak kampuni ya tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua.. Click to expand... Wanefanya nini tuambie huenda unataka komenti
cleokippo said: Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtak kampuni ya tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua.. Click to expand... Wanefanya nini tuambie huenda unataka komenti
K Kimwakaleli JF-Expert Member Apr 16, 2018 3,904 5,365 Nov 18, 2023 #4 cleokippo said: Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato Click to expand... Mtafute mwanasheria popote,atakupa Cha kufanya!
cleokippo said: Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato Click to expand... Mtafute mwanasheria popote,atakupa Cha kufanya!
Selemani Sele Senior Member Feb 25, 2023 155 414 Nov 18, 2023 #6 Tuma demand notice na maelekezo ya nn kimetokea na demand yako
fundi bishoo JF-Expert Member Jun 26, 2018 13,072 22,882 Nov 19, 2023 #7 hunabhela ww acha long longo bin lomo lomo mwana wa mito mingi
T Twin_Kids JF-Expert Member Feb 25, 2016 3,071 4,647 Nov 19, 2023 #9 Kwa hiyo ni wajinga kiasi hicho? Yaani jana mil 20 imeenda,leo unataka kushitaki! 1. Wana customer care. Wamekujibu nini? 2. Wana office: umeenda ukaambiwa nini?
Kwa hiyo ni wajinga kiasi hicho? Yaani jana mil 20 imeenda,leo unataka kushitaki! 1. Wana customer care. Wamekujibu nini? 2. Wana office: umeenda ukaambiwa nini?
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,675 698,682 Nov 19, 2023 #11 Amehlo said: Wasamehe tu Click to expand... Never on earth...! Sent using Jamii Forums mobile app
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 120,243 143,568 Nov 30, 2023 #13 Pole sana... Ngoja waje kukupa muongozo...
MKAKA HALISI JF-Expert Member Dec 5, 2018 624 1,234 Nov 30, 2023 #14 Tigo wako chini ya TCRA so neenda kaanzie hapo