Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

Kapime eneo la nyumba, vipimo Kwa mzingo ni ngumu Sana kufanya makadirio
msaada hapo makadirio ya bati na mbao
Screenshot_20250520-115151_Office.jpg
 
Unapomwambia fundi apime Chumba kikubwa Cha kujiachia,ukumbuke pia Kila kitu kwenye huo ujenzi kinaongezeka, hasa bati (pesa inalala nyingi Sana at once)
Mafundi wabaya sana. Walininunulisha bati nikaezeka zikabaki za kuezeka vyymba vingine vitatu tena ni bati za kwenda kiwandani ukanunua kwa vipimo baada ya kupiga kenchi
 
Bei kaka bei inakuwaje hapo? Isije ikawa million 5 nzima inaisha kwenye bati
Itategemea unanunua bati ya aina gani mkuu, ukinunua zile zinazorange 30,000 kushuka had 20,000 haifiki ata 3milion

Ukinunua ALAF, Tena zile zile za vigae vigae au chenga chenga , jiandae kisaikolojia
 
Pole sana, Ila ni Bora zibaki kuliko zifeli, Maana ujenzi ni suala endelevu.

Zikifeli na saiti haujaisha, na wewe bajeti yako imekata, hakuna rangi utaacha kuona
Mafundi wabaya sana. Walininunulisha bati nikaezeka zikabaki za kuezeka vyymba vingine vitatu tena ni bati za kwenda kiwandani ukanunua kwa vipimo baada ya kupiga kenchi
 
Itategemea unanunua bati ya aina gani mkuu, ukinunua zile zinazorange 30,000 kushuka had 20,000 haifiki ata 3milion

Ukinunua ALAF, Tena zile zile za vigae vigae au chenga chenga , jiandae kisaikolojia
Aisee wacha nile mbususu ujenzi sitaweza
 
Back
Top Bottom