Nahisi kuna campaign dhidi ya Daimond

Nahisi kuna campaign dhidi ya Daimond

Kuna alieanzisha uzi humu kusema kuwa KTMA wameanza kutaja kura zinaendaje na mwingine kuandika uongo kuwa Chibu anatoa hongo kushinda hawa naona sheria ndio itawatembelea soon.

Mifano ya watu wa hivi ndio kuanza kufundisha wananchi kuacha kutumia uongo na kutaka kushusha hadhi ya kampuni au waandaaji wa awards.

Usernames zao na na printscreen tayari yanawekwa sawa.

Na wengine waongo, ukitaka andika kitu basi rusha na source maana itakusaidia na ukidanganya basi unalo zaidi na zaidi.

Dalili za uoga washaona team mondi hawatetereki na kampeni zao.
 
Mwimbo ulivuma sana miaka hiyo unaitwa Mbagala alipoanzaga utaona na sura ya kigeni ucheki link chini hapa

https://youtu.be/hZBXVkAcbWo

asante mkuu ila nilikua namuuliza huyo anaedai kua chibu alishutia wimbo huo jalalani akataka kufananisha idea yake na mwana ulioanzia kushutiwa chooni nikataka anijibu kua kwani wimbo wa mbagala si unabeba idea ya jalala sasa kwanini asishutie jalalani? Ila naona amekaa kimya.
 
duuu!!!atakasirikiwa sasa hivi na team kiba na wema maana wanavyojua kujishtukia!!

Watu tusicheke mjini.hapa na kuongea na watu kisa wao watanuna.


Watu wanasikitisha kupaisha mambo sababu zao binafsi na kutumia wasaniii, ni kama kila mtu asifanye lake la moyoni anadakiwa.

Bora watoke na kusema nakuonea wivu wewe fulani au fulani.

Wanafanya kama vile awards zimeanza leo TZna duniani na ndio mara ya kwanza mshindi atakuwa mmoja kwa kila kipengele, kama vile kabla kila aliyewania alibeba tuzo.
 
asante mkuu ila nilikua namuuliza huyo anaedai kua chibu alishutia wimbo huo jalalani akataka kufananisha idea yake na mwana ulioanzia kushutiwa chooni nikataka anijibu kua kwani wimbo wa mbagala si unabeba idea ya jalala sasa kwanini asishutie jalalani? Ila naona amekaa kimya.

Poa karibu, yaani umemuuliza vizuri sana.
 
Waunganishe team zote ,Mwisho wa siku itafahamika tu ,

Mdogomdogo tuna fanya kweli,Go Chibu Go!!
 
Akishinda video bora yatakuwa maajabu ya mwaka...

Kwa jinsi Wamemkera Diamond kuna hatihati kama atahudhuria tuzo hizo... Ukimuona Daimond amekubali kuja siku hiyo ya KTMA ujue anachukua nyingi, hawezi kuja kuabishwa kipumbavu kirahisirahisi

Atakujaje na yeye mwoga, hataki kushuhudia wenzie wakipewa haahahahhahahahahah!
 
Hahaha mkuu umetisha. Nimesoma hoja za dogo platnumz zina mashiko, ya moto band wako wapi? Christian Bella? Kwa maoni yangu hakuna wasanii wachukue tuzo nyingi kama hawa, wamefanya kazi nzuri sana. Hii ishu ya chuki kwa diamond hajaanza leo, lakini dogo is too smart for them. Yupo na vigogo wa tania kama mameneja zake, na wazee wa majungu, hivyo hawamuwezi. Halaf dogo ana nidhamu ya kazi na heshima kwa watu. Tofauti na wasanii wengine wanaolewaga umaarufu. Watashindwa tu, I thought jokate was too smart for that.. Kumbe ndo walewale.

Mtajipwelepweta mwaka huu, hakuna cha ktma wala channel O, mpaka dogo domo lake liache kutema uchafu
 
Kama kukampeni angeaza na msanii wake Mirror anaemmeneji na kuinvest pesa yake. Zaidi ya hapo ni ushamba tu wa kutokubali matokeo ya kuachwa na Dangote.

Badala ya kutoa povu si umkampenie mtu wako, vinginevyo wema, jokate wana haki ya kufanya wakitakacho hahaah na kimezaa matunda hadi daimond kuandika gazeti mchezo,. Hatareeeer
 
Ahsante mkuu. Akili hii ktk hii post ma team wema hawawezi elewa.
Bravo.

Unataka akatae kukampeniwa inamuhusu nini,.ugomvi wa domo na wema havimuhusu, cool kiba hana mashauzi ndo maana anapendwa.
 
nalichukiaje hilo kahaba??? wanamsema zari bibi, zao zenyewe zimekomaa utasema gamba la kobe, aweza kuwa bibi lakini yake ina mvuto na laini kama sufi! team michirizi mpoooooo???

Kahaba kuliko zari? Hahahahahahaha wonders shall never end.
 
tatizo watu wana mcho lakini hawawezi ona, yaani hilo kahaba limezeeka kuliko mimi! mmmmxxxxiiiiiiieeewwwww, DIAMOND ALIFANYA LA MAANA SANA KUSONGA MBELE, bora mbibi anayekielewa mara mia, kuliko kijana kahaba hana future kama huyo kahaba!

Hahahhhaha wapi katunziiiiii, wapi baba mutoto, mwaka huu mtatoboa screen kwa hasira hahahahahha! Wapi bibi trunktree
 
Sijui ni kwanini mwamchukia mtoto wa watu kiasi hicho.. Awe kahaba ni yeye na ndo maisha alochagua nashangaa mnavomsema hivo akati nyie usikute ndo mmekubuhu ila kwavile ni yeye basi mmekazana
ifike sehemu mkubali kwamba hii ni nchi huru na kila mtu ana haki ya kuishi atakavyo..... Mnanikwaza sana kwa kweli

Wabongo ndo zao kusifia vya nje, vyao wakivilaani na kuvidhihaki, ila wengi ni stress tu, kama ni ukahaba zari kamzidi wema maana yeye east africa yote katembeza.
 
Mwambie wema nae aache kujipendekeza kwa diamond kumtumia tumia vi text msgs na kumtaja kila sekunde kwenye show yake. Oh... Na kutokasirikia marafiki kisa wamemsapoti diamond. Akubali matokeo au Ale shubiri itampunguzia machungu ya kumtamani tena diamond na hatamrudia ng'oooo!

Mwambie mondi naye aache kumtajataja wema kwenye kila wimbo, hahaha werevu twaona atiiii, mwambie wema alimdump so amove on na bibi bomba, asipaniki sana wema akimsapoti kiba. Tunasubiri part 2, vipi.hajarelease? Hahahahahahah
 
Team Wema na team kiba matusi ya nini.. Fanyeni kampeni zenu huku mkijiamini mwisho wa siku raia wataamua.

Timu mondi mkiongozwa na Mfalme wenu mlianza kupaniki baada ya kuona mabango ya kiba! Mkaanza kelele, asiyejiamini hapo??? Sisi ndo raia na kiba ndo anapigiwa kura. Mwambie mondi tunasubir part 2
 
Hahahhhaha wapi katunziiiiii, wapi baba mutoto, mwaka huu mtatoboa screen kwa hasira hahahahahha! Wapi bibi trunktree

Katunzi wa wapi picha ile ya wiki kama 48 zilizopita basi ka mimba inakaa muda wote huu haya subirieni tu ni uamuzi wenu.

Ila watu mnavyoongelea waume za watu siku ikija nyie kuongelewa kama mke au mume mtajisikiaje.

Mbona wa TZ wengi hamna heshima na kuheshimiana? Ungekuta ni sibling wako mngepalalia udaku kiasi hiki.

Mnasikitisha kisa ni chuki....haya kuleni bata na kukosa usingizi kisa Diamond.
 
Asante ndugu yangu, maana naona Diamond wa watu ananangwa kwa ajili ya upuuzi. Mange Kimambi alivyomvalia njuga kijana wa watu utafikiri alikua anamjua enzi anauza mitumba. Wamuache Diamond wa watu. Nampenda Ali Kiba pia yeye ni msanii mzuri ila na yeye afanye kazi tuone ubunifu wake na yeye apande juu kama mwenzie. Chuki za nini?
Akina Davido na PSquare hata wao sio wajinga wanataka kufanya collabo na msanii ambaye kazi zake pia zina vutia. Number One was a hit on its own and when the remix with Davido came out it was a super hit.
Sioni uhusiano kati ya ushabiki wa team wema na team kiba na success ya Diamond. Diamond anapendwa kwa kazi zake nzuri full stop.

Huyo anaeblogia anampenda kajaa wivu nae, kaa sio basi angekuwa anamsifia anapostahili. yeye hapendi kuona wengine wanapaa anajipiga kichwa na stress za maisha ya watu kuwaandika uongo asilimia kubwa akidhani anawashusha kumbe bonge la promo za bure. kashazoeleka
 
Back
Top Bottom