Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
acha uchawi weweeeDuh kuna watu kweli hamjielewi unakiri unamchukia Diamond at the same time unaniita mi nnachuki wakati sijawahi kusema namchukia ally kiba kama wewe ulivyokiri mwenyewe bila shuruti kwamba unamchukia diamond... Unajielewa kweli sister
yani mnataka mziki uendelee then mnataka asapotiwe mtu mmoja tu
mmxxxxiiuuuuuuu
sawa mi simkubali mondi ila akifanya zuri namuunga mkono mfano white party ya juzi mbona mi nilimsapoti
ila wewe una roho nyeusi km sumu vile
sijui ukoje yaani
kashasema hataki sapoti ya tunzo so how come watu wamsupport ..?
inaingia akilini kweli jamani...
si utakua unafki na kujipendekeza...