Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Nimeandika mwenyewe mineMhhhh umeandikiwa au umeandika wewe??
nawaambia hawa wakosefu wa shukrani wenye midomo ya shombo wanafk na wakosefu wa fadhila
yyaani kila jema liwe kwao tuuuu
kila jemaaa wafanyie wao tuuuu
wema angemsapoti daimond humu angetukanwa na haoa hao waanzisha thread tena matusi mazito mazito
kamsapoti kiba bado kwa tatizo
walitakaje labda?
hakuna analowafurahisha huyu mtoto wa mwenzenu ht mojaa
hebu muonege aibu bass...
mumuache sasa ni zamu ya aly kupata sapoti ya wema isac abraham sepetuu
ninyi white party mlipata sapoti kubwa sana na media zote ziliwabeba na wasanii karibu wote waliwaunga mkono
wafuasi wa daimond waache unafki wa kutaka wawe wao ndo wao tuu
huu utakua sio ushindani kamwe
na wema huyoo
mumpende,mumchukie mtajibeba mwaka huuu na aly ndo anampromoti vizuri tuuu....
m