Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,949
- 4,426
Unajua mimi ni mtu ambaye napenda kusema ukweli. Simchukii Diamond Platnumz ila tatizo lake hataki kukubali kwamba muda wake umepita. Najua kuna watu watasema mbona Ali Kiba humsemi ila ukweli ni kwamba “affinity” zao ni tofauti. Ukweli ni kwamba Diamond amefanya vyote mpaka watu wameshamzoea na kuona kwamba hana jipya. Wazungu husema, “Even the best actor has to leave the stage one time”
Alijua kabisa akitoa album haitofanya vizuri, so akaona aifanye EP. Duniani hakuna EP ya zaidi ya dakika 30. Ni uoga tu wa kushindanishwa na Ali Kiba na Harmonize. Anadai hawezi kushiriki tuzo za ndani kisa yeye ni msanii mkubwa. Basi atuoneshe tuzo kubwa za maana alizoshinda huko duniani.
Mi nikaona mbwembwe zote za kusema yeye ni Top 3 Africa kumbe hata Rayvanny kampita streams. Sasa huo u Top 3 upo kwenye nini? Maana sisi tunamtambua kama mwanamuziki na msanii anapimwa kwa jinsi watu wanopambana kusikiliza kazi zake.
Ushauri wangu kwa huyo kijana ni kwamba awekeze kwenye mambo mengine. Atapoteza pesa nyingi sana kwa kutaka kuonesha yeye ni #1 ila ukweli ni kwamba muda wake umekwisha. Atapoteza pesa ku prove yeye ni zaidi ya Harmonize. Kesho atatoka Rayvanny nae pia atake kuonesha ni zaidi.