Nimekupenda buree, well said. Wema alimuacha Diamond, na sio Diamond ndio alimuacha Wema. Diamond kapata mwanamke mwingine imekua kosa, kwani hiyo dudu ya Diamond ilizaliwa for Wema tu? Ndio iwe fundisho kwa wanawake wote na wanaume pia, ukipendwa tulia, sio kuendekeza pesa za mapedeshee na mashuga mami halafu unamtingishia kiberiti mtu anaekupenda kwa dhati, huwa wanachoka. Ukimbwaga ukifikiri atakulilia na kukubembeleza, kumbe mwenzio ndio una mthibitishia kwamba huna mapenzi ya dhati kwake.
Kama nilivyosema in my previous posts, team kiba na team wema, mtukaneni Diamond weeeee mpaka mchoke, but it wont change what he was born with i.e his talent,creativity, voice, dudu na kupetipeti :becky: