Nahisi kuna campaign dhidi ya Daimond

Nahisi kuna campaign dhidi ya Daimond

Hii Sawa na Ile ya mashabiki wa Yanga kuishangilia Azam dhidi ya Timu Yao, sio kwamba wanaipenda Azam ila nia kumkomoa Simba.

Uzuri kila mmoja anajua hizo ni kampeni za chuk.
 
hebu acheni unafki wenu hapa nyie
hv zari white party mbona amesapotiwa sana mpk hapa jf ht kwa sie tusiomkubali huyo msanii
nyie watu ni wabinafsi sana tena sana mnataka asapotiwe yy tuuu
yy tuuu who the hell is he...
kwank wema kumsapoti aly k una ubaya?

mbona aunty alimsapoti daimond nyie vipi

hebu muacheni wema wa watu
mbona jokate hamsemii

wema hana jema ht mojaaa...

mnataka wema amsapoti mondi ili aonekane anajipendekez au
hv mngekua nyinyi ndo wema au jokate mngewezaaa...
wanafki nyie wakubwa hamna lolote roho mbaya inawasumbua

wakaanga sumu nyie

hebu kwendegeni hukoo
vichefu chefu wakubwaaa
ptuuuuuuuuuuuuuu........

Oooooowwww asantee asanteeeeeeee.........
Umewapa breakfast daaahhhh
Wapi team domo.....breakfast ya bure hiiiii lazma mnywe mwaka huuu
 
Oooooowwww asantee asanteeeeeeee.........
Umewapa breakfast daaahhhh
Wapi team domo.....breakfast ya bure hiiiii lazma mnywe mwaka huuu
wanakera sana hawa sijui washabiki sijui wafuasi wa huyo daimond
kwanza wanafki wanataka kila mtu ampende au kila mtu amkubali kitu ambacho watasubiri sana hakitokuepo kamweeee

kwenye white party hunu wengi tulimsapoti ht sie tusiomkubali
leo usitegemee mie nimpigie kura dai ninuache kibaa au rich mavoko...wazimu huo labda au nmerogwa na mganga kafa...

wema kwao hana akili,hajielewi,malaya yy
kila sifa mbaya anayo wema..

sawa ana mapungufu yake wema km wema ila kwenu nyie huko hamna weakness ht mojaaaa....

muacheni wema she is human being like others stop being too much negativity to her jamani

nimegundua nyie so called wafuasi wa daimond ni wanafki na mna roho mbaya sana nyie

na huyo sijui msanii wenu mnafki tu
ndo maan hamna ht msanii mmoja aliyemuunga mkono

last year alikua wapi kuongea yote haya aliyoyongea

na nimegundua kwanza ni mtu asiyependa challenges ht kidogo

wana roho mbaya sana hawa mazezeta yake

mmmmmxxxxiiiiuuuuuuuuuuuu zao wote wanaompinda wema
 
Yaani unanikoshaje dear......wanamponda wema wana nini cha ziada? Shida zimewaganda kama ukoko....eti malaya.. hahahahaaaaaa wenyewe wanajiuza kwa mia tano tano kila siku wamefanywa mbele nyuma wengine adi midomoni... ama kweli nyani haoni ku.nd.ule.
Afu kwan wema akimpigia promo kiba kina wakuna nini was.h.enz kweli...
Hawajui kila mtu na uhuru wake wa kufanya chochote....
Alafu wanajikuja wanamwona domo ni Mungu sijui.. ni wanafiki na waswahili kama bosi wao tehe teheeeeeeeeee
Akiwakera kakaliani ndoo mjambie afu mnuseee
Kiba kiboko yenu eeeeee
Apo ni mwanzo tuuuuuuuuu
 
wanafki tu hawa leo ndo aione ktma haifai sijui nn

na kura tutapiga vizuri mpk kieleweke
hawa wanamuonaje sijui wema
si zari amsapoti bwana ake sasa
wabinafsi sana hawa watu
na kingine hiyo ni defence mechanisms hana lolote

acha anaehtaji sapoti asapotiwe
huyo asietaka endeleeni kujipendekeza

tena ngoja nikampigie kura wema mie kwenye tuzo za watu
 
Yaan mimi kiba na Wema nishawapigia mpaka vidole vinauma....kiba atachukua tuzo na pia Wema atachukua tuzo....Mwaka wao huuu.
Wanamdharau Wema wanaona mtakatifu huyo Zari tehetehee bonge la sugar mumy.... geniveros kama una kaka yako ambaye ana shida ya kuzaliwa mtoto mwambie kuna mama huruma kutoka UG anagawa kama hana akili nzuri....hahahaahaaa eti wifi wa taifa....kwa lipi mtu kashapita juu ya madushe mia kabla ata mond hajazaliwa na bado kaendelea kuzikalia mpaka leo heheheeee wanavyomkweza utazani kabint kadogo kumbe libibiii.
Wanaloooo
 
Last edited by a moderator:
mmh watu mnaangaika huyo wema mwenyew ana nafasi gani kwenye maisha yenu fanyeni yenu jamani
 
hahaahaaa dah watu mna maneno duh

tatizo dai hapendi ushindani ht kidogo anataka awe yy mfalme

mxiuiiuuuu
sijui yukoje kutwa kucha kuchambana tuu
sijui anajiskiaje labda
il kushukuru MUNGU kahamia kwa wastaarabu may b he's gonna change for good
maana tandale kule saa ingine akili kipindi cha mvua km hk zinasombwa na maji...
 
Last edited by a moderator:
mmh watu mnaangaika huyo wema mwenyew ana nafasi gani kwenye maisha yenu fanyeni yenu jamani
nalichukiaje hilo kahaba??? wanamsema zari bibi, zao zenyewe zimekomaa utasema gamba la kobe, aweza kuwa bibi lakini yake ina mvuto na laini kama sufi! team michirizi mpoooooo???
 
nalichukiaje hilo kahaba??? wanamsema zari bibi, zao zenyewe zimekomaa utasema gamba la kobe, aweza kuwa bibi lakini yake ina mvuto na laini kama sufi! team michirizi mpoooooo???

Afu cha ajabu sasa huyo bibi mzuri kuliko huyo Msichana, na hapo huyo Msichana najaza hata mtoto mmoja kakongoroka vile. Yaani unaweza kusema vice versa bibi ndio Msichana na Msichana ndio bibi.
 
Afu cha ajabu sasa huyo bibi mzuri kuliko huyo Msichana, na hapo huyo Msichana najaza hata mtoto mmoja kakongoroka vile. Yaani unaweza kusema vice versa bibi ndio Msichana na Msichana ndio bibi.
tatizo watu wana mcho lakini hawawezi ona, yaani hilo kahaba limezeeka kuliko mimi! mmmmxxxxiiiiiiieeewwwww, DIAMOND ALIFANYA LA MAANA SANA KUSONGA MBELE, bora mbibi anayekielewa mara mia, kuliko kijana kahaba hana future kama huyo kahaba!
 
mmmmhhhh.!! Kimenuka...
 
na tutawapwelepweta kwelikweli ohooooo... Kwa miaka mitano kwenye game, mezani tunazo tuzo 15 za KTMA waache wastaafu wajiliwaze kwa pamoja maana dangote anawaotesha majipu kwelikweli... sema tu mi namuoneaga huruma kibakuli, tar 29/11 mwaka jana dangote anapopata tuzo tatu kwa mpigo jamaa ndio alikuwa anasheherekea bday yake chumbani kwa maumivu makaaaali saaana,, imekuja may 2 mwaka huu dangote anaingiza mamilioni kwenye party ya karne yeye amevamiwa daaaah....,

Hahahahaha kazi kweli kweli
 
Acheni wivu si muwaambie hao wasanii wenu nao wapande waonekane kwani wamefungwa kamba wasifanye yao?

Wivu mbaya na baraka kwa mnaoshambulia

Endeleeni kutoa kiki.....

Jumamosi kuna wadau wa nchi zingine za Africa wanatoka USA kwenda UK kuangalia show ya D our international superstar.

Labda Diamond anasomaga humu, eti D unashikilia watu na kuwafungia ndio maana wanakusimanga ushuke ili wao wapande? Eti D kwani hakuna nafasi za kupanda maana sielewi kwanini wewe yaani wewe kila kitu kila upovu wao wewe kila wakiinama wakiinuka wakilala wakiamka wakienda chooni wewe?

Eti D Ile bidii zako ulivyojijenga na kuwekeza kwani wao hawana nafasi kufanya? kwani duniani inabidi kuwa wewe kupanda juu?...si unaona unavyotamanisha maisha yako kwa watu wakati ulipokuwa unauza mitumba nao wanaimba walishindwa kuweka akili zao ambazo hawana hadi leo.

Eti D kwani Mungu katika muziki alisema uwezo na akili ya kuwa msanii anatoa kwa mmoja tu? Eti D studio ipo moja unayokaa masaa 24 wengine hawawezi kuja kuimba?

Eti D unavyopanga mambo yako na ulipokuwa unasoma shule ulitimia dagtari moja na wenzako darasa lote?

Eti D ulipoenda kusaidia wa Tandale nafasi ya kupita kutoa misaada ilikuwa ya mtu mmoja tu wengine wamefungiwa kwenda makwao?

Eti D hivi umefanya nini hadi ukishuka wewe ndio wengine wapande? Kule BET ambapo hata wanamuziki wa nchi hiyo hawapewi nomination uliwafungia maishani mwao wasipate?

Eti D ukiandika chako kwani kimewazuia watu kupanda? Maana wanataka kufa ili eti ushuke kwani ngazi ipo moja?

Eti D bando wanazonunua kukuandika umewanunulia au wamenunua wao maana hawawezi pita siku bila kukupa promo haswa humu JF? Eti D promo hizo umewaomba wakupe? Eti wakiandika mabaya humu mbona bado washabiki wako wanazidi na wao hawashabikii wanaowapenda?

Eti D kama mie napenda muziki nitakaoupenda kwani imenikataza na kusema lazima wewe tu, si mie nineamua tena sababu kubwa kukuzimia zaidi ni baada ya wao kushusha maneno ya ajabu?

Eti D nyota yako uliiba kqa qatu ukawatoa roho ukaichukua ukaipandikiza kwako? Eti D Tanzania wanazuia wasanii wengine kufanya kazi zao kwa bidii?

Eti D zile project zako za kuingiza pesa uliwanyang'anya? Eti D unavyopiga picha zako na kurusha na hata mpenzi wako pia akiwemo wao umewakataza wasipige? Eti D wewe kupenda wao wamekatazwa?

Eti D mbona K na K wana maisha yao wapaa na pia B na J wanayao wanapanda? Eti umeshawaona mashabiki hata walio nchini mwetu wakitukana mmoja wao ashuke? Sasa kwanini wewe?

Eti D unalazimisha watu kutopenda miziki au wasanii wengine? Eti D kushabikiwa kwako ulitembelea nyimba hadi nyumba kuomba au kuhonga ushabikiwe?

Eti D.........
 
Kwani Diamond alipoandika alimtaja mti yeyote hakustahili kupewa nominations? Mbona mnakuza mambo wakati ujumbe umeshawafikia aliowaandikia?

Nyie si mpige kura zwnu zihesabike na sio kumjaza mtoto wa watu maneno ambayo hata hayamgusi.

Mnachekesha bila Chibu hamuwezi kuishi....nazi...ndimu...vidole vyenu navionea huruma

Mmezidi uswahili kila anachofanya mnasema yenu, yes wote nyie mnaosema ambayo hakumtaja mtu atolewe au asingekuwepo maana kiundani mnajua ukweli wa mambo labda kuna kweli ambao hawakustahili lisg kubwa sasa sijui nyie mnasema nani na nani.

Kueni muache vya nasema nawe
 
hebu acheni unafki wenu hapa nyie
hv zari white party mbona amesapotiwa sana mpk hapa jf ht kwa sie tusiomkubali huyo msanii
nyie watu ni wabinafsi sana tena sana mnataka asapotiwe yy tuuu
yy tuuu who the hell is he...
kwank wema kumsapoti aly k una ubaya?

mbona aunty alimsapoti daimond nyie vipi

hebu muacheni wema wa watu
mbona jokate hamsemii

wema hana jema ht mojaaa...

mnataka wema amsapoti mondi ili aonekane anajipendekez au
hv mngekua nyinyi ndo wema au jokate mngewezaaa...
wanafki nyie wakubwa hamna lolote roho mbaya inawasumbua

wakaanga sumu nyie

hebu kwendegeni hukoo
vichefu chefu wakubwaaa
ptuuuuuuuuuuuuuu........

Mhhhh umeandikiwa au umeandika wewe??
 
Back
Top Bottom