mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,692
Team Wema na team kiba matusi ya nini.. Fanyeni kampeni zenu huku mkijiamini mwisho wa siku raia wataamua.
Mwambie wema nae aache kujipendekeza kwa diamond kumtumia tumia vi text msgs na kumtaja kila sekunde kwenye show yake. Oh... Na kutokasirikia marafiki kisa wamemsapoti diamond. Akubali matokeo au Ale shubiri itampunguzia machungu ya kumtamani tena diamond na hatamrudia ng'oooo!
Hivi nyinyi ambao mmeunganisha team (Wema + Kiba) na kutengeneza team moja, siku ikitokea Wema na Diamond warudiane mtakua team gani? Au ndo bendera fuata upepo?
Diamond aliimba jalalani video ya mbagalaEti wanataka hata ile video ya mwana aliyoimba chooni sijui bafuni ndio iwe video bora
Nimependa uliyoyashusha
inachekesha kweli ile video....Eti wanataka hata ile video ya mwana aliyoimba chooni sijui bafuni ndio iwe video bora
Diamond aliimba jalalani video ya mbagala
Hivi nyinyi ambao mmeunganisha team (Wema + Kiba) na kutengeneza team moja, siku ikitokea Wema na Diamond warudiane mtakua team gani? Au ndo bendera fuata upepo?
hii imenichekesha kwani wimbo ulihusu nini mkuu?
Diamond platnumz aka Chibu
Aiseee!!best sikupata muda wa kuingia humu ndani siku tatu hizi nilikuwa busy kinyama!!!Umesimamia show mpaka kimeeleweka!!safi sana mtu wangu!!
Idris karusha instagram na mie narusha maana inagonga maisha ya wengi 🙊
na nyie muache kumuandama mtoto wa mwanamke mwenzenu
sina muda wa kumuambia hvyo wema maana mapenzi yao sikuepo walivyotongazana wala walivyoachana
na sijui wema anampenda kias gani huyo daimond mda upo ipo siku atamtoa moyoni
wema si wa kwanza na wala si wa mwisho kujipendekeza kwa mwanaume
au kwa kua sisi ni maanonimas...?
masuala ya mapenzi yanachanganya na yanaumiza pia
u never know ht sisi humu wapo victims pia
we jus cant pretend that we ar too happy with our rltns out there..
and start attacking wema day by day
nnawaambia nyie wanafki washanshuda muache hizo mambo na mumuache wema pia amsapot yyte anaefeel kumsapoti
humu wenyewe ukute kuna watu humu mabingwa wa kujipendekeza kwa ma ex zenu
mxiiiiiiuuuuuuuuuuuuuuuuiuuui
Geniveros diamond mlimuona poa sana alipokuwa na wema,. Kwani diamond hatukanwi na team wema? Wema kamtosa mwenyewe aache kujipendekeza maana mna act kama diamond ni super criminal baada ya kuachana na wema. Naamini angekuwa na wema hadi leo msingekuwa mnaropoka ropoka ovyo na kumtukana huyo kijana.
Kama alimtosa jamaa mwenyewe anahangaika nini tena? Jamaa kazuia kila upande anamwita ana iq ndogo, bora mwenye iq ndogo anaekuwa real kuliko anaejiona mwema but fake from head to heart.
mi binafsi wala sipingi maamuzi ya dai kua na zari
na ukisoma comments zangu nyingi minamkubali zari sana
mi nnachopinga ni kumtukana wema kisa kamsuport aly kiba
kwa kweli hapo ndo nimekwazika maana ni vtu ambavyo vipo
siku zote adui yako unamuombea njaa
muacheni wema amsapoti anayemtaka yy jamani
kuna mtu kamtukana anty kwa hilo suala?Swali nikuulize, kama wema anatakiwa awe huru kumsapoti anaetaka, mbona marafiki zake hawako huru kumsapoti diamond? Refer kesi yake na aunty ezekiel.