shame on you kuandika re kundule...so kila anayempenda Diamond na Zari ni timu basi tena, fahamu wengine tunasimama wenyewe kwa uamuzi wetu na tunafurahia tukiona wanaongelewa...wakidisiwa uongo na bila facts tunashusha. Sasa kama mie niliye fan wa Zari miaka mingi unaniambia mambo ya timu iweje?
Wengi nyie ndio mnataka kuharibu nakutopaisha wanamuziki kisa ujinga wa maneno bila kufikiria inawaharibia nini, kuwakimbizia nini, kisaikolojia inawafanyaje pia wenyewe?
kama mie naishi na my music collection ya wanamuziki niwapendao hata ninaopenda labda mwimbo 1 tu, kama nina fav wangu ni uamuzi wangu, kama napenda mziki huu silazimishiki kupenda mwingine. mfano tunasikiliziaga LSG kama wa LSG kwa maendeleo na maisha yao kujulikana kisolo pia hao unazani wangekuwa wapi kama ingekuwa TZ na tabia hii mbovu iliyoingia wengi?
hakuna point ya maana ___mtu anayeweza kuongelea kwenye tv mme wa mtu ni big no heshima na no kujiheshimu kabisaaaaa.
Pia na kumsema kutungia inatia aibu kutaka kuchafua watu na maneno na kusingizia basi mimba ina wiki 48 kama vile hamumuongelei mme wa mtu, furahisheni roho zenu kutwa kuota kutu.
heshimuni ndoa za watu sio mnataja majina ya wanaume/wanawake ovyo, bila kusahau couples hata kama hazijafunga ndoa pia...yakiwakuta mtasikiliziwa.