Hahaha mkuu umetisha. Nimesoma hoja za dogo platnumz zina mashiko, ya moto band wako wapi? Christian Bella? Kwa maoni yangu hakuna wasanii wachukue tuzo nyingi kama hawa, wamefanya kazi nzuri sana. Hii ishu ya chuki kwa diamond hajaanza leo, lakini dogo is too smart for them. Yupo na vigogo wa tania kama mameneja zake, na wazee wa majungu, hivyo hawamuwezi. Halaf dogo ana nidhamu ya kazi na heshima kwa watu. Tofauti na wasanii wengine wanaolewaga umaarufu. Watashindwa tu, I thought jokate was too smart for that.. Kumbe ndo walewale.