Nahisi kuna campaign dhidi ya Daimond

Nahisi kuna campaign dhidi ya Daimond

Kweli dunia duara, yani leo hii Kiba kawa tishio kwa msanii wa kimataifa aliyebeba tuzo 3 chane0?

Kama hivi nina kila sababu ya kuamini kuwa Kiba karudi rasmi, maana mwaka jana sijaona wimbo mkali wa kufunika Mwana, labda mwaka juzi ile number 1 ya Tajiri Dangote ingeweza kufunika hii mwana.
 
Nyimbo kama Nitajuta na Niseme zinastahili kuchukua hiyo Tuzo...

Ila kamwe Dai hawezi kunyimwa usingizi na Ally... tatizo ally na team yake wanatumia nguvu kubwa sana kumwangusha wakitegemea watapanda
 
Huo ni wivu tu roho zinawauma mbaya nlizani jojo ana akili kumbe naye wale wale but alepewa kapewa God bless u Chibu uzichukue zote.
 
Nyimbo kama Nitajuta na Niseme zinastahili kuchukua hiyo Tuzo...

Ila kamwe Dai hawezi kunyimwa usingizi na Ally... tatizo ally na team yake wanatumia nguvu kubwa sana kumwangusha wakitegemea watapanda

Sasa kama amewekwa kwenye category ili apigiwe kura si anaomba kura zake?ubaya uko wapi?nipe uhusiano wa kampeni anayopigigiwa kiba na kushuka kwa diamond platnumz...diamond is not bigger than the Tanzania music industry, kila anachotaka yeye basi kiamuliwe hivyo, yan anataka wasanii anaowataka yeye ndio wawekwe kwenye wengine hapana, ye nani??kila mtu ana mapenzi tofauti na music na aina ya msanii anaempenda, acha ushabiki
 
Aisee mbona mi naona ni kama aibu na fedheha kwa Kibba kuwaacha waendelee kufanya wanachofanya kwa sababu tu wanataka kulipa kisasi kwa kutumia jina lake narudia tena NI AIBU NA NI FEDHEA KWA KIBBA NA WANAOJIITA TEAM YAKE KUKUBALI KUTUMIKA KAMA SILAHA M-BADALA YAO
 
Kweli dunia duara, yani leo hii Kiba kawa tishio kwa msanii wa kimataifa aliyebeba tuzo 3 chane0?

Kama hivi nina kila sababu ya kuamini kuwa Kiba karudi rasmi, maana mwaka jana sijaona wimbo mkali wa kufunika Mwana, labda mwaka juzi ile number 1 ya Tajiri Dangote ingeweza kufunika hii mwana.

mkuu wewe si huna timu umeshasahau juzi jumapili ulisema haupo timu kiba wala mond. Mbona povu linakutoka hapa?

Punguza unafki na wala kua na timu sio dhambi, uwe unaweka akiba ya maneno.
 
Yaani Wema na Jokate kumuombea kura Alikiba imekuwa Nongwa yaani mlitegemea Wema na Jokate wamuombee kura Diamond wakati Diamond mwenyewe kakataa kuomba kura? Kama Diamond mwenyewe kakataa kujiombea kura basi akijitokeza mtu wa kunuombea kura atakuwa ni mjiinga wa kutupwa
 
Ndo utaiona tofauti sasa... dai haombi kura halafu anazichukua .. Mzee wa campaign akitoka hatoki na kitu
 
mkuu wewe si huna timu umeshasahau juzi jumapili ulisema haupo timu kiba wala mond. Mbona povu linakutoka hapa?

Punguza unafki na wala kua na timu sio dhambi, uwe unaweka akiba ya maneno.

Hakun mtu ambaye yupo neutral dunia hii..lazima uwe una upande
Prof.Issa Shivji said so
 
Last edited by a moderator:
Aisee mbona mi naona ni kama aibu na fedheha kwa Kibba kuwaacha waendelee kufanya wanachofanya kwa sababu tu wanataka kulipa kisasi kwa kutumia jina lake narudia tena NI AIBU NA NI FEDHEA KWA KIBBA NA WANAOJIITA TEAM YAKE KUKUBALI KUTUMIKA KAMA SILAHA M-BADALA YAO

HTa yule mme wake zari waliyeachana nae anampa support ally just for revenge... Ila ally anachekelea maana anapata free promo
 
Sasa kama amewekwa kwenye category ili apigiwe kura si anaomba kura zake?ubaya uko wapi?nipe uhusiano wa kampeni anayopigigiwa kiba na kushuka kwa diamond platnumz...diamond is not bigger than the Tanzania music industry, kila anachotaka yeye basi kiamuliwe hivyo, yan anataka wasanii anaowataka yeye ndio wawekwe kwenye wengine hapana, ye nani??kila mtu ana mapenzi tofauti na music na aina ya msanii anaempenda, acha ushabiki

Sio anaowataka yeye huo ndo ukweli.. Huwezi ukamuacha Mo music kwenye category ya wanamuziki chipukizi halafu watu wakanyamaza tuu
 
Back
Top Bottom