CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Umetoka na DIV?aaa! CHAI CHUNGU ni mjeda mi siwezi kuwa kama yeye,,a spouse needs freedom of expression and movement
Last edited by a moderator:
Umetoka na DIV?aaa! CHAI CHUNGU ni mjeda mi siwezi kuwa kama yeye,,a spouse needs freedom of expression and movement
endelea kusubiri
Mnong'oneze basi, charminglady
nakuaminia
Ebu niwekee jina lake kwa PM isije kua ndiye huyo huyo wangu,maana comments zake kwa mwanaume yeyote rijali lazima apate msisimko lol!Yuko humu humu Jf,
napenda comment zake,
Napenda Id yake,
Navyomfikiria akilini nahisi atanifaa.
Au ni mke wa mtu?
Kumtajaaaa! Mm roho inasita.
Nifanyeje
..........ekirere kirimburaMficha hazai uchi! Na
Mficha kilio maradhi yatamfichua!
Chana goli !
Ebu niwekee jina lake kwa PM isije kua ndiye huyo huyo wangu,maana comments zake kwa mwanaume yeyote rijali lazima apate msisimko lol!
Hahahahahaha!biashara matangazo.Mie ndo namkosi napendwa na vibabu angalia kibabu Bishanga kilivyoniganda kama ganda la muwa sipumui
Mie ndo namkosi napendwa na vibabu angalia kibabu Bishanga kilivyoniganda kama ganda la muwa sipumui
Mie ndo namkosi napendwa na vibabu angalia kibabu Bishanga kilivyoniganda kama ganda la muwa sipumui
Hvi haujui kuwa rimoyo rangu rimekudondokea?
hiro rimoyo rako ririvyo lizito nitalidakaje sasa?