Ki loveconnect
Ki loveconnect
yale yale ya CHAI CHUNGU
yale yale ya CHAI CHUNGU
Yuko humu humu Jf,
napenda comment zake,
Napenda Id yake,
Navyomfikiria akilini nahisi atanifaa.
Au ni mke wa mtu?
Kumtajaaaa! Mm roho inasita.
Nifanyeje
Ha ha ha ha!yale yale ya CHAI CHUNGU
Ha ha ha ha!
Watakubaliana humu humu,Wataachana humu humu,na watarudiana humu humu,kamati ya harusi itatoka humu humu,mazishi wa cake watapatikana humu humu,wataoana humu humu,watazaana humu humu,watoto wao watakulia humu humu.