ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
Haya banaa, na mie nimeweka ndiki (crossing fingers)
Oya ni aje..!!? nilikuota nilipokuwa lupango
Yuko humu humu Jf,
napenda comment zake,
Napenda Id yake,
Navyomfikiria akilini nahisi atanifaa.
Au ni mke wa mtu?
Kumtajaaaa! Mm roho inasita.
Nifanyeje
kumbe ni Purple mi nilijua mimi ati heeeeeeee!
ummu kulthum
Ndio wee,,ambaye huwa unaonekana kwenye perfume za Koolsum,,kama ni wewe basi unapendwa na wengi ntaumia nafsi bureee!
Yule mwanamke kulthum na Cleopatra sijui nani zaidi!
Yuko humu humu Jf,
napenda comment zake,
Napenda Id yake,
Navyomfikiria akilini nahisi atanifaa.
Au ni mke wa mtu?
Kumtajaaaa! Mm roho inasita.
Nifanyeje
Da mi ntakuwa mwenyekit wa kamati,jipangeni tu
::
Nakupenda Purple,
Sio kwa makelele,
Kwa utulivu wa milele
Usikae kimya beibe,
Utanifanya niumie,
Nafsi niijutie,
Kukuambia hadharani
::
Nipe vyako vigezo,
Nijipime na uwezo,
Niambie yakupendayo
Na yale uchukiayo,
Ukimya wako huo,
Utaniwazisha mno,
Kukuambia hadharani
::
Purple usinione mpuzi
Kupenda ni maradhi
Tiba yake haiko mbali
Upendwe kwa hiari
Usinitupie mbali
Nikaibika hadharani
::
Njoo unipe jawabu
Nilale kwa utulivu
Moyo wangu ni sikivu
Lolote nitapokea jibu
Moyo usinilaumu
Nizidiwe na hamu
Purple njoo tabibu
=
Mmm! Ombi lenyewe sijajibiwa,,tayari kamati
Anyway regan morgan,,lets buy time
awww malenga wapya mpo wengi wallah diamond akae mkao wa kusogea:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: