Tetra
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 1,526
- 771
- Thread starter
- #21
Nadhani hatakuangusha kijana mwenzie. Purple come zis wei...Someone z falling in love.
nisaidie Zion Daughter
Last edited by a moderator:
Nadhani hatakuangusha kijana mwenzie. Purple come zis wei...Someone z falling in love.
charminglady
ndio ufunguo wenyewe
Basi ungemalizia pia wampenda naye yeye binafsi?
Kwani mtu akisema "shati lako zuri nimelipenda/ viatu vyako vizuri nimevipenda" anakuwa kamaanisha amekupenda na wewe???
Nafikiri kwa sauti......
Purple huyu hapa. Anapatikana maeneo ya Survey. Kila weekend huwa anapatikana pale Silver Spoon Mlimani City. Mvizie pale.
![]()
Ahahahaaaa..umeua aisee.
Basi ungemalizia pia wampenda naye yeye binafsi?
Kwani mtu akisema "shati lako zuri nimelipenda/ viatu vyako vizuri nimevipenda" anakuwa kamaanisha amekupenda na wewe???
Nafikiri kwa sauti......
Tenaa! Sitamtupa kwa ajili ya comments zake
Da,,shukrani ila mpaka nipate kauli yake ndo nimvizie
Mmm! Napata kigugumizi si unajua tena athari za kwenda moja kwa moja,,kumbe nimewahiwa.
Unasubiri kauli yake? Wait in vain
Kama ni mie tiririka tu bwanaa. Mwenyewe nakutolea majicho kitambo, lol
Nae alidondokea pua........?
Alimpenda mtu kwa komenti...halafu akampiga mkwara eti aache kukomenti JF....hivi kweli inawezekana tishu pepa ikatengeneza mwamvuli????
Aaa Nicas Mtei...usimwambie hivyo,,truth told is better than hidden fallacy