Nahisi kumpenda huyu !! I mean it

Nahisi kumpenda huyu !! I mean it

Mie ndo namkosi napendwa na vibabu angalia kibabu Bishanga kilivyoniganda kama ganda la muwa sipumui

Si ukiteme?
Au hadi kije kikufie chestini ?
Si kuna uvumi kakipiga bao moko Saturday mpaka next Satrdy!
Na ww una moyo.
 
Last edited by a moderator:
duh... Mbona na mimi nimeantha kumpenda mdogo mdogo.... Teh teh teh... Kamu hia Purple

Donn! Donn! Tafadhali sana,,yaan mi kumpenda na we umeanza kumpenda.Aisee Purple njoo My baby girl,,kabla sijatoa mtu damu hapa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom