Purple
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 2,027
- 935
Purple usicheze na pendo langu,
Ukadhani nakutania ulie wangu,
Nasema kwa dhati uwe wangu,
Nitumie namba yako kwa PM yangu,
JF unaonekana si kwa aghalabu,
Umekuwa kama kakakuona wangu,
Ukikubali ombi langu,
Hutajuta kuwa wangu.
heheheee:israel: