Nahisi alikuwa gesti

Nahisi alikuwa gesti

Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi .
Download hiyo picha halafu usioneshe wasiwasi wowote ule! Edit video kutoa sehemu zinazomuonesha wewe lakini hakikisha alama muhimu za chumba zinabaki! Subiri kama wiki 2 mbili hivi kisha na wewe post kwenye status yako hiyo edited video na hakikisha anaiona halafu subiri reaction zake!!

Sema watu mna wivu, dah!!
 
Mkuu sasa we apo unahangaika nini? Kama umeona kabisa hayo mazingira ni ya guest, na kama ujuavyo mtu hawez kwenda guest peke yake unless labda angekua amesafiri nje ya mkoa. Hiyo inamaana alikua na njemba na limemtifua.

Nilichogundua inaonekana wewe huyu dem unamliaga getto au gesti za vichochoroni zile za elfu 5 mnapewa na soda, ndio maana demu kachachawa kupelekwa guest nzuri mpaka kaona apost mitandaoni.

Hapo una mambo mawili ya kufanya:
1. Kama unataka kuachana nae, we muulize alipokua. Utazua ugomvi mkubwa tu na mwisho mtaachana
2. Unaweza usimuulize chochote ukaendelea kumega kisela maana so far hajaanza nyodo, ila soon ataanza na mtaachana.

Mi ningekua ni wewe ningepiga kimya niendelee kula cha mwisho mwisho.
kimoja cha mwisho ni muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sina wivu ila karoho kama kanauma hivi. Nitajaribu.
Download hiyo picha halafu usioneshe wasiwasi wowote ule! Edit video kutoa sehemu zinazomuonesha wewe lakini hakikisha alama muhimu za chumba zinabaki! Subiri kama wiki 2 mbili hivi kisha na wewe post kwenye status yako hiyo edited video na hakikisha anaiona halafu subiri reaction zake!!

Sema watu mna wivu, dah!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja kwa moja kwenye mada. Demu wangu leo tangu asubuhi tulikuwa tunachat fresh kabisa mpaka kufikia mida ya saa kumi na moja hivi. Kwa kupumzika pumzika sio mwanzo mwisho chatting

Ilivyofika saa 11 jioni akatoka online. Saa kumi na mbili alipost picha akiwa home kwao amependeza anaonekana anamtoko. Hatukuchat tena kuanzia muda huo na hakuwa online.

Mimi ilivyofika saa tatu nikalala zangu. Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video anacheza kwenye room ambayo nimeitilia mashaka na jinsi ilivyo. Room ina kitanda kimoja kimetandikwa fresh halafu kina kidirisha cha juu kidogo, japo sijui room ya nyumbani kwao ikoje but nafsi inaniambia kabisa yale ni mazingira ya gest. Halafu juu kuna kifeni kina pepea kwa speed ya 4G. Na sehemu nyingine kazificha kwa kutumia emoji.

Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi .

Sent using Jamii Forums mobile app

Toka 2020 ianze wanaume tunaongoza kulalamika.. Sijui tatizo liko wapi. Najikuta nina swali genuine, hao wanawake wanaopelekwa guest house mnawatoa wapi? Halafu anafikia kupost video yuko mazingiza kama hayo wakati anajua ana boyfriend/fiance'/mme.. au wewe ni mchepuko wake so she gives no *** with you?

A woman should leave no loose ends!!
 
Moja kwa moja kwenye mada. Demu wangu leo tangu asubuhi tulikuwa tunachat fresh kabisa mpaka kufikia mida ya saa kumi na moja hivi. Kwa kupumzika pumzika sio mwanzo mwisho chatting

Ilivyofika saa 11 jioni akatoka online. Saa kumi na mbili alipost picha akiwa home kwao amependeza anaonekana anamtoko. Hatukuchat tena kuanzia muda huo na hakuwa online.

Mimi ilivyofika saa tatu nikalala zangu. Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video anacheza kwenye room ambayo nimeitilia mashaka na jinsi ilivyo. Room ina kitanda kimoja kimetandikwa fresh halafu kina kidirisha cha juu kidogo, japo sijui room ya nyumbani kwao ikoje but nafsi inaniambia kabisa yale ni mazingira ya gest. Halafu juu kuna kifeni kina pepea kwa speed ya 4G. Na sehemu nyingine kazificha kwa kutumia emoji.

Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaona taulo pia na ndala ovesize zilizokatwa kwa mbele au nyuma? Kama kitanda ni cha mbao umeliwa na kama ni cha chuma ni geto la msela pia umeliwa.
Wanaume tumeumbwa mateso...
 
Huo ndo wivu wenyewe huo mkuu.. ukisikia mtu ameji- hang himself ndo vinaanziaga huko . Mi sahizi sipendagi demu yani steji ya kuwa na upendo wa dhati kwa mwanamke nimevuka zamani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo tunapouishi ule msemo usemao ukiona huumizwi tena na mapenzi/uhusiano basi wewe umeshakuwa malaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom