Nahisi alikuwa gesti

Nahisi alikuwa gesti

Toka 2020 ianze wanaume tunaongoza kulalamika.. Sijui tatizo liko wapi. Najikuta nina swali genuine, hao wanawake wanaopelekwa guest house mnawatoa wapi? Halafu anafikia kupost video yuko mazingiza kama hayo wakati anajua ana boyfriend/fiance'/mme.. au wewe ni mchepuko wake so she gives no **** with you?

A woman should leave no loose ends!!
Sometimes zinakuwa hisia tu. Kama nilivyosema sijui chumba anachoishi kwao kikoje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja kwa moja kwenye mada. Demu wangu leo tangu asubuhi tulikuwa tunachat fresh kabisa mpaka kufikia mida ya saa kumi na moja hivi. Kwa kupumzika pumzika sio mwanzo mwisho chatting

Ilivyofika saa 11 jioni akatoka online. Saa kumi na mbili alipost picha akiwa home kwao amependeza anaonekana anamtoko. Hatukuchat tena kuanzia muda huo na hakuwa online.

Mimi ilivyofika saa tatu nikalala zangu. Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video anacheza kwenye room ambayo nimeitilia mashaka na jinsi ilivyo. Room ina kitanda kimoja kimetandikwa fresh halafu kina kidirisha cha juu kidogo, japo sijui room ya nyumbani kwao ikoje but nafsi inaniambia kabisa yale ni mazingira ya gest. Halafu juu kuna kifeni kina pepea kwa speed ya 4G. Na sehemu nyingine kazificha kwa kutumia emoji.

Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio mnaopigagwa na wake zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa kwenye mahusiano hakikisha unaelewa kuwa she's never yours, it's just your turn. With that in your mind, at least you won't try to kill yourself when you find out someone has been splitting your girlfriend's camel toe. 😀😀😀

It seems you're the clingy type "Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video", I highly recommend you first quarantine yourself from her, and all the rest will fall into place.
 
Karne hii si karne ya kubembeleza penz mjomba,kuA kama mm tuu

Kata mti pandA mti,wala usijibizane na mwanamke
Yaani point kabisa... Kutulia na papuchi moja nikujitakia majanga tuu. Unakuwa nazo kama tatu hivi kwa mpigo mmoja kizingua unajua zipo mbili za kukupa raha.
 
Moja kwa moja kwenye mada. Demu wangu leo tangu asubuhi tulikuwa tunachat fresh kabisa mpaka kufikia mida ya saa kumi na moja hivi. Kwa kupumzika pumzika sio mwanzo mwisho chatting

Ilivyofika saa 11 jioni akatoka online. Saa kumi na mbili alipost picha akiwa home kwao amependeza anaonekana anamtoko. Hatukuchat tena kuanzia muda huo na hakuwa online.

Mimi ilivyofika saa tatu nikalala zangu. Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video anacheza kwenye room ambayo nimeitilia mashaka na jinsi ilivyo. Room ina kitanda kimoja kimetandikwa fresh halafu kina kidirisha cha juu kidogo, japo sijui room ya nyumbani kwao ikoje but nafsi inaniambia kabisa yale ni mazingira ya gest. Halafu juu kuna kifeni kina pepea kwa speed ya 4G. Na sehemu nyingine kazificha kwa kutumia emoji.

Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi .

Sent using Jamii Forums mobile app

Shule zifunguliwe mkasome, sasa wewe dem hujamchumbia hata pesa ya vocha hujui anapewa na nani ila unataka uchati nae masaa 24 yeye huko kwao hapiki, haoshi vyombo au hana kazi za kufanya kama wewe ulivyo kula kulala
 
Ukiwa kwenye mahusiano hakikisha unaelewa kuwa she's never yours, it's just your turn. With that in your mind, at least you won't try to kill yourself when you find out someone has been splitting your girlfriend's camel toe.

It seems you're the clingy type "Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video", I highly recommend you first quarantine yourself from her, and all the rest will fall into place.
it is not simple like that.. This is preliminary investigation and curiosity of checking if she is real or fake as far as wife material is concerned.

Kama nisingekuwa na malengo nae ningeacha tu kwa maana nikiomba mzigo napata kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom