Mbochong'a
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 770
- 1,315
- Thread starter
- #81


shukrani mkuu
Babaa kulikuwa hamna haja ya kumalizia uzi, ushaliwa hapo babaa! Pole sanaa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app


shukrani mkuu
Babaa kulikuwa hamna haja ya kumalizia uzi, ushaliwa hapo babaa! Pole sanaa mkuu.
Daah!! Umeandika ukweli mtupu mkuu.Huyo kapigwa rafiki yangu,harafu ana confidence yakutosha,vyumba vya kawaida kukuta feni juu ni nadra sana,hii kwa gect ndo fasheni.wanawake wa ivo hawafai ,wanaopenda kujipiga vipicha wengi wao tabia zao ni chafu,kusifiwa na wanaume na kutongozwa kwao ndo habari ya mjini,mpe hai shemeji yangu chawote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha sawa chief.Kwa hiyo ulitaka ule peke yako ? Unadhani na mi simtamani ? Kizuri hajakuvunjia heshima acha tuendelee kula wote.
Na sisi tufanye lini bibie!!Aliamua kufanya utalii wa ndani


ngoja nipige moyo konde.
Roho imeanza kuuma,,,,,,kiboga chaanza liwa Bora usifikirie potezea au nawe tafuta faster mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ashaliwa huyo na inawezekana ndo tabia yake.bado hujamsoma vzuri. Naww unaanzaje kuwa na manz mmoja tu??
Sent using Redmi7
Moja kwa moja kwenye mada. Demu wangu leo tangu asubuhi tulikuwa tunachat fresh kabisa mpaka kufikia mida ya saa kumi na moja hivi. Kwa kupumzika pumzika sio mwanzo mwisho chatting
Ilivyofika saa 11 jioni akatoka online. Saa kumi na mbili alipost picha akiwa home kwao amependeza anaonekana anamtoko. Hatukuchat tena kuanzia muda huo na hakuwa online.
Mimi ilivyofika saa tatu nikalala zangu. Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video anacheza kwenye room ambayo nimeitilia mashaka na jinsi ilivyo. Room ina kitanda kimoja kimetandikwa fresh halafu kina kidirisha cha juu kidogo, japo sijui room ya nyumbani kwao ikoje but nafsi inaniambia kabisa yale ni mazingira ya gest. Halafu juu kuna kifeni kina pepea kwa speed ya 4G. Na sehemu nyingine kazificha kwa kutumia emoji.
Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabsaa mkuu,hisia ndo kila kitu kwa mwanadamu,Amini sana hisia zako. Huo ndio mlango wa sita wa fahamu. Hisia huzalisha tashwishi, ambayo huzalisha uchunguzi. Uchunguzi hutoa majibu ya kuthibitisha au kukanusha hisia.
Hisia ni mlango wa sita wa fahamu! Heshimu Hisia Zako!
NB:
1. Rusha hiyo video clip
2. Ikiwa ni kweli, umeachwa ndugu yangu. Anza kusaka upya mwanamke mwingine ili ukija elezwa biashara imekwisha, usishikwe na utungu.
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake tuishi nao kwa akili.Amini sana hisia zako. Huo ndio mlango wa sita wa fahamu. Hisia huzalisha tashwishi, ambayo huzalisha uchunguzi. Uchunguzi hutoa majibu ya kuthibitisha au kukanusha hisia.
Hisia ni mlango wa sita wa fahamu! Heshimu Hisia Zako!
NB:
1. Rusha hiyo video clip
2. Ikiwa ni kweli, umeachwa ndugu yangu. Anza kusaka upya mwanamke mwingine ili ukija elezwa biashara imekwisha, usishikwe na utungu.
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie akutumie video yenyewe bila hivyo vi emoji
Kweli kabsaa mkuu,hisia ndo kila kitu kwa mwanadamu,
Mie kuna kitu nilihisi kwa demu wangu kuwa kaanza kuchepuka lakn nikahisi hisia zinanidanganya lakn mwsho wa siku hisia zikaja kuwa kweli na nilikua nishachelewa muda sanaaa,kwahyo binadamu tukiwa na hisia na kitu flani tusisite kukiamini hata kwa asilimia uchache.
Chunguza na tafakari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sanaWanawake tuishi nao kwa akili.
Mwanamke ni chombo cha starehe tu akiamua kumpa starehe mwenzako usishangae.
Sent using Jamii Forums mobile app