Nahisi alikuwa gesti

Nahisi alikuwa gesti

Upo Free sana, nakushauri badilisha aina ya stress, stress za status za wanawake ni matumizi mabaya ya stress. Nenda hata kakope ununue shamba halafu uanze kuwa na stress za jinsi ya kulipa kuliko kuwa mr lover lover.
 
Shule zifunguliwe mkasome, sasa wewe dem hujamchumbia hata pesa ya vocha hujui anapewa na nani ila unataka uchati nae masaa 24 yeye huko kwao hapiki, haoshi vyombo au hana kazi za kufanya kama wewe ulivyo kula kulala
Hivi unachokiandika una uhakika nacho au unasikia raha tu kuandika utopolo. Vocha ni wewe ndio unamnunulia!!?? Then wewe ndio umemchumbia!!?? Nilisema hiyo chatting sio continuously.
Kanawe mikono na maji yanayotiririka utumie na sanitizer ukalale ujiepushe na korona maana hujui unachokiandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo Free sana, nakushauri badilisha aina ya stress, stress za status za wanawake ni matumizi mabaya ya stress. Nenda hata kakope ununue shamba halafu uanze kuwa na stress za jinsi ya kulipa kuliko kuwa mr lover lover.
wazo zuri.. but sometimes hivi vitu vinakuwaga kama one among the basic needs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni uhuni mkuu. Ina maana wewe hutafuti wife? Au huna mpango wa kuoa.!

Sent using Jamii Forums mobile app

U r ryt brother huo ni uhuni kabisa...
Ah wife nitatafuta ila mie natafuta wife wakula nae bata tuu mambo ya kuanzisha familia mie hapana ili akizingua tuu nampiga chini naleta kifaa chengine.
Majukumu ya kulea watoto mie sitaki nataka niwe namgegeda wife kwa raha zangu hahahaha
 
Sababu ya kupigwa ni ipi hapo mkuu? Kama unampenda kweli kuna vitu lazima uwe na wasiwasi navyo. Tatizo mnatokaga na pisi za kawaida ndio maana hamnaga wivu nao

Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha wewe mwenye pisi kali wajanja wamekugongea halafu demu wako alivyo kiazi mpk picha amerusha mtandaoni. Amekukosea adabu sana huyo demu nakushauri usilimuulize na kata mawasiliano mpk akutafute mwenyewe. Unatafuta maambukizi mapya ya HIV na Corona
 
Moja kwa moja kwenye mada. Demu wangu leo tangu asubuhi tulikuwa tunachat fresh kabisa mpaka kufikia mida ya saa kumi na moja hivi. Kwa kupumzika pumzika sio mwanzo mwisho chatting

Ilivyofika saa 11 jioni akatoka online. Saa kumi na mbili alipost picha akiwa home kwao amependeza anaonekana anamtoko. Hatukuchat tena kuanzia muda huo na hakuwa online.

Mimi ilivyofika saa tatu nikalala zangu. Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video anacheza kwenye room ambayo nimeitilia mashaka na jinsi ilivyo. Room ina kitanda kimoja kimetandikwa fresh halafu kina kidirisha cha juu kidogo, japo sijui room ya nyumbani kwao ikoje but nafsi inaniambia kabisa yale ni mazingira ya gest. Halafu juu kuna kifeni kina pepea kwa speed ya 4G. Na sehemu nyingine kazificha kwa kutumia emoji.

Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi .

Sent using Jamii Forums mobile app
weka picha au video ili tuweze kukushauri vizuri wengine bado hatujanywa chai
 
Hivi unachokiandika una uhakika nacho au unasikia raha tu kuandika utopolo. Vocha ni wewe ndio unamnunulia!!?? Then wewe ndio umemchumbia!!?? Nilisema hiyo chatting sio continuously.
Kanawe mikono na maji yanayotiririka utumie na sanitizer ukalale ujiepushe na korona maana hujui unachokiandika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dogo unatumbu tu na uzi wa kitoto sasa kama ameliwa si ukae kimya, we huna unachomgharimia ndo maana kaamua kuliwa
 
ha ha ha wewe mwenye pisi kali wajanja wamekugongea halafu demu wako alivyo kiazi mpk picha amerusha mtandaoni. Amekukosea adabu sana huyo demu nakushauri usilimuulize na kata mawasiliano mpk akutafute mwenyewe. Unatafuta maambukizi mapya ya HIV na Corona
sawa mkuu nimekusoma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babaa kulikuwa hamna haja ya kumalizia uzi, ushaliwa hapo babaa! Pole sanaa mkuu.
 
Back
Top Bottom