Mbochong'a
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 759
- 1,293
Moja kwa moja kwenye mada. Demu wangu leo tangu asubuhi tulikuwa tunachat fresh kabisa mpaka kufikia mida ya saa kumi na moja hivi. Kwa kupumzika pumzika sio mwanzo mwisho chatting
Ilivyofika saa 11 jioni akatoka online. Saa kumi na mbili alipost picha akiwa home kwao amependeza anaonekana anamtoko. Hatukuchat tena kuanzia muda huo na hakuwa online.
Mimi ilivyofika saa tatu nikalala zangu. Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video anacheza kwenye room ambayo nimeitilia mashaka na jinsi ilivyo. Room ina kitanda kimoja kimetandikwa fresh halafu kina kidirisha cha juu kidogo, japo sijui room ya nyumbani kwao ikoje but nafsi inaniambia kabisa yale ni mazingira ya gest. Halafu juu kuna kifeni kina pepea kwa speed ya 4G. Na sehemu nyingine kazificha kwa kutumia emoji.
Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi .
Sent using Jamii Forums mobile app