Vibuyu umefika mbali 😂😂Unataka kusema hata mashoga walishajulikana watakuwa mashoga toka viunoni mwa baba zao?
Kumbe Mungu amempangia kila mmoja ataishi vipi hapa duniani? Sasa kwanini watu wanatafuta miujiza?
Sasa hii ni summary au hoja?Nita ongelea sehemu ndogo sana ya mada kuhusu AI, lakini nitareverse kidogo perspective. Kwa mtazamo huu, idea ya ku establish AI inaweza kuonekana kama njia ya kutufanya tuwe trapped kwenye dependency, mpaka taratibu tunaacha kutumia full capacity ya ubongo wetu. Ubongo ndio unaotupa ability ya kufikiri, kucreate, kuchambua na kufanya decisions. AI ikianza kutufanyia kila kitu thinking, searching, creating na hata deciding tunaweza kuzoea kuwa passive na kupunguza efficiency ya brain processing yetu. Hapo ndipo tunapoanza kusema tuko kwenye “low frequency” wakati “high frequency” ni ile hali ya kuwa mentally active, creative na fully aware.
Ukiwa kwenye hiyo low frequency, creativity inaweza kushuka, deep thinking inapungua, motivation na mental energy vinaanza kudhoofika. Na ukizoea kupata majibu yote kutoka nje badala ya kutumia akili yako, unaweza kupoteza ile ability ya ku question things na ku trust your own judgment. From a spiritual perspective, mtu anaweza pia kuhisi kama awareness yake ya ndani inazidi kuwa weak anaanza kupoteza connection na conscience yake, intuition na kile anachoamini kuwa ni God’s will. Sio kwamba AI yenyewe automatically inafanya hivi, bali ni namna tunavyoiruhusu itawale sehemu kubwa ya maisha yetu.
Ndiyo maana wengine wana connect hali hii na concept kama “demonic implants” wazo kwamba kuna influence inayoweza kubadilisha emotions, instincts, fears na hata uwezo wa mtu kutofautisha between what feels right and what feels wrong spiritually. Hii haijathibitishwa kisayansi, lakini kama spiritual theory, point yake ni kwamba ukidhoofisha mind, unaweza pia kudhoofisha spiritual awareness yako. So the real danger inaweza isiwe AI itself inaweza kuwa siku ambayo mwanadamu ataacha kutumia ubongo wake, creativity yake na inner awareness yake kwa sababu machine tayari inamfanyia kila kitu.
NIONYESHE NILIPO ANDIKA DINI NI UPUMBAVU KWENYE COMMENT YANGU YA KWANZA ? SIKATAI KUWA DINI KWA KIZAZI CHA SASA NI UPUMBAVU ..ILA SIKUSEMA POPOTE KUWA DINI NI UPUMBAVU...NIMESEMA MADHEHEBU YA DINI NI UPUMBAVU.Acha mihemko mkuu, uzi umetulia huu negative vibes, ziweke pembeni
Ni wewe. Mwenyewe umeandika dini ni upumbavu... Nikakuuliza mbona kwa Karne zote hizoo watu wame thrive kupitia dini?
Dini sio ukristo na uislamu tu mkuu, labda kama ulidhani hivyo!
Sawa ila sio upumbavu piaNIONYESHE NILIPO ANDIKA DINI NI UPUMBAVU KWENYE COMMENT YANGU YA KWANZA ? SIKATAI KUWA DINI KWA KIZAZI CHA SASA NI UPUMBAVU ..ILA SIKUSEMA POPOTE KUWA DINI NI UPUMBAVU...NIMESEMA MADHEHEBU YA DINI NI UPUMBAVU.
Hicho unacho kiita nafsi(soul) unaweza kuthibitisha unacho?Jamani mbona uzii umepoa great thinkers
Mshana Jr Infropreneur Kiranga na wengine aisee nisaidieni kuwa tagg wote this topic is so huge guys
Labda nikuulize wewe huyo ambaye yuko nyuma ya mwili na akili unamjua?Hicho unacho kiita nafsi(soul) unaweza kuthibitisha unacho?
Au unakubali tu nadharia ambazo umezikuta watu wana amini tu bila kuwa na uthibitisho?
Kwa nini unadhani kuna aliye nyuma ya mwili na akili?Labda nikuulize wewe huyo ambaye yuko nyuma ya mwili na akili unamjua?
Sisi binadamu ni Energy.Maana tuanzie hapo kwanza. Yaani ambaye anakufanya uyatamke haya maneno, ni nani. Objectify huyo mtu au kitu.
Usiseme neva au celi maana zote hizo ni mchakato wa energy. Na energy haitengenezwi wala kumalizwa
Je hiyo energy ni nini? Au ni nani?
Kwanza kabisa sijasoecify kile kilichopo nyuma yetu ni mtu... La hasa haiwezi kuwa mtu maana watu ni sisi sasa mtu atakuwa je nyuma yetu?..Kwa nini unadhani kuna aliye nyuma ya mwili na akili?
Kwani sisi hatuwezi kuwepo wenyewe tu pasipo huyo anaye aminiwa kuwa nyuma yetu?
Kama sisi hatuwezi kuwepo wenyewe tu, Huyo unayeamini kwamba yupo nyuma yetu, Yeye aliwezaje kuwepo tu mwenyewe?
Kama unaamini huyo aliyepo nyuma yetu kaweza kuwepo mwenyewe tu, Unashindwaje pia kujua kwamba hata sisi tumeweza kuwepo wenyewe tu?
Mbona unataka kubisha kitu ulicho kubali a nacho ya kuwa energy can neither be created nor destroyed but transformed from one form to another?Kama kila kitu kilichopo kitahitaji kuwa na aliyepo nyuma yake, Huoni kwamba hata huyo aliyepo nyuma ya vitu, atahitaji pia kuwa na aliyepo nyuma yake?
Na hapo kutakuwa na msururu mrefu usio na mwisho. Ili kila kitu kilichopo kiwe na aliyepo nyuma yake.
Pasiwepo chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo aliyepo nyuma yake.
If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex
An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever. There is no first event, no start, and no uncaused beginning.
Uko sahihi kabisa na hapa nakubaliana na weweSisi binadamu ni Energy.
Na from the definition of energy ni kwamba, Energy CANNOT be created or destroyed but it can be transformed from one form to another.
Kama sisi binadamu ni energy, na energy haiwi created, huoni kwamba hata sisi binadamu hatukuwa created?
Kwa sababu sisi pia ni Energy.
Na energy haiwi created.
Na sisi hatukuwi created.
Sisi binadamu ni energy, tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.
Na mimi hakuna sehemu nimesema aliyepo nyuma yetu ni mtu.Kwanza kabisa sijasoecify kile kilichopo nyuma yetu ni mtu... La hasa haiwezi kuwa mtu maana watu ni sisi sasa mtu atakuwa je nyuma yetbrother.
Sisi wenyewe ni energy.Hatuwezi kuwa peke yetu kwa sababu tunajua fika bila energy hatuwezi kuwepo, mwili wenyewe tu ukipimwa unaonesha kuwa una vibrations... Na hata kichwani wakiweka cap yenye electrodes wanagundua vibrations ambazo zinakuwa transfered kuwa na kuwa displayed.
So hatuwezi ku exist bila uwepo wa energy.. Hata basic matter tu inavibrarion ya particles.
Sasa ukisema energy ni Mungu hapa utakuwa ume introduce kitu kingine juu ya kingine.Mbona unataka kubisha kitu ulicho kubali a nacho ya kuwa energy can neither be created nor destroyed but transformed from one form to another?
Kwa nini una sahau hiki kitu?
Anza na hii standpoint katika hoja zako kwanza.
Mimi nachojua na kuamini ni kuwa even those complex creatures are just expressing the same energy. Ambayo ndo msingi wa kila kitu.
Uko sahihi kabisa na hapa nakubaliana na wewe
Ila creation is necessary, sio kwa namna ya Sisi kuwa independent bali kuzaliana na kutafuta another expression of the same energy ambayo haiwi created nor destroyed..
Na hiyo energy ndio Mungu, source, all
Ambayo ndo mimi na wewe na kila kitu.
Hapa sasa tuko pamoja.
Dini ya kweli siyo madhehebu kwa sababu dini ni NJIA YA HAKI hivyo kufuata dini maana yake kuu kabisa ni kuishi kwa HAKI ..hapa neno Mungu tunaliweka kwanza pembeni.Sawa ila sio upumbavu pia
Hata madhehebu nayo ni man made na yana ashiria kile kile kinacho zungumziwa na ancient teachings.
Sio lazima ila ni necessary kwa sababu ya kutu fanya tujue na uamke out of the illusion of separation...Sasa ukisema energy ni Mungu hapa utakuwa ume introduce kitu kingine juu ya kingine.
Sisi wenyewe binadamu ni energy.
Kama energy ni Mungu, na sisi binadamu ni energy, kwa hiyo sisi binadamu ni Mungu?
Maana unasema energy ni Mungu.
Una introduce kitu kipya juu ya kingine.
Kwani energy haiwezi kubaki energy bila kuitwa Mungu?
Hakuna dini isiyo ya kweli peke yakeDini ya kweli siyo madhehebu kwa sababu dini ni NJIA YA HAKI hivyo kufuata dini maana yake kuu kabisa ni kuishi kwa HAKI ..hapa neno Mungu tunaliweka kwanza pembeni.
The word "necessary" means something you must have or do because it is required, essential, or can not be avoided.Sio lazima ila ni necessary
kwa sababu ya kutu fanya tujue na uamke out of the illusion of separation...
Kabla ya ku link Energy na huyo Mungu, Kwanza unapaswa kuthibitisha hicho unacho kiita Mungu kama kipo?The illusion of duality ina thrive kwenye umimi na wewe yaani ili source icheze vibrationaly lazima iwe positive na negative
Ndo maana kuna duality na Nondualtiy
Tukija ukasema sisi ni Mungu pekee au sisi ni binadamu pekee tubakosea
Sisi ni both.
Mkuu baki humu tu maana huwa unaleta reasoning sana na wakati majibu yako plain clear.The word "necessary" means something you must have or do because it is required, essential, or can not be avoided.
Yani kwamba ni lazima.
Sasa ukisema "sio lazima ila ni necessary" hii statement yako ina utata wa kimantiki. Ni logical contradiction.
Kwa sababu neno necessary kwa kiswahili ni lazima.
Kabla ya ku link Energy na huyo Mungu, Kwanza unapaswa kuthibitisha hicho unacho kiita Mungu kama kipo?
Kwa sababu Energy inajulikana ipo na tunaweza kuipima.
Sasa hicho unacho kiita Mungu ulijuaje kipo na unathibitishaje kipo?
Ulijuaje Mungu ni source na unathibitishaje?Mkuu baki humu tu maana huwa unaleta reasoning sana na wakati majibu yako plain clear.
Mungu=source=energy=Nondualtiy
Then wewe na mimi ni results za (duality, polarities) vibration ya kile kitu hapo juu(Mungu)
Sijui unanipata? Don't try to reduce energy into an object or idea.
We jamaa unataka tuanze tena upya kwenye energy kwani si tulielewana kuwa energy ndo kila kitu including Mungu?Ulijuaje Mungu ni source na unathibitishaje?
Au una amini tu Mungu ni source kupitia hadithi za maandiko ya kiimani?
Kwa sababu kuamini, unaweza kuamini hata uongo usio hitaji uthibitisho.
Lakini tukija kwenye ukweli wenye logical consistency(uthabiti wa kimantiki), Ukweli ambao haupingani kimantiki, lazima tuanze kujua kwanza kama hicho kinachoaminiwa kipo kweli au hakipo?
Kwa sababu hatuwezi kujua tusivyo vijua.
Sasa ukisema Mungu ni source. Kwanza inapaswa uanze kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu. Ili tujue kweli yupo.
Sio kurukia tu, kusema Mungu=source.
Lazima tuanze kujua, Je huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi tu zisizo na Ukweli wala uthibitisho?
Mkuu Nilikwambia huwezi kureduce Mungu(jina lililontengenezwa na binadamu) kuwa kitu au idea.Ulijuaje Mungu ni source na unathibitishaje?
Au una amini tu Mungu ni source kupitia hadithi za maandiko ya kiimani?
Kwa sababu kuamini, unaweza kuamini hata uongo usio hitaji uthibitisho.
Lakini tukija kwenye ukweli wenye logical consistency(uthabiti wa kimantiki), Ukweli ambao haupingani kimantiki, lazima tuanze kujua kwanza kama hicho kinachoaminiwa kipo kweli au hakipo?
Kwa sababu hatuwezi kujua tusivyo vijua.
Sasa ukisema Mungu ni source. Kwanza inapaswa uanze kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu. Ili tujue kweli yupo.
Sio kurukia tu, kusema Mungu=source.
Lazima tuanze kujua, Je huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi tu zisizo na Ukweli wala uthibitisho?
Dini ya kweli ni lazima iwe na misingi ya haki ..hivyo neno lolote lisilo la haki ni dini potovu isiyo ya kweli...dini ni maisha ..na dini ya kweli ni maisha ya haki .hivyo siyo wote wenye dini wanaishi kwa haki na siyo dini zote zinafundisha haki...Hakuna dini isiyo ya kweli peke yake
Na hakuna dini iliyo ya kweli peke yake
Dini zote ni sawa kwa namna zao
Huyo Mungu unamu include vipi kwamba ni energy wakati hujathibitisha uwepo wake?We jamaa unataka tuanze tena upya kwenye energy kwani si tulielewana kuwa energy ndo kila kitu including Mungu?
Hakuna Mungu.Mkuu usicheze na theory za ubongo unajipoteza na kurudia kucheza ngoma ile ile
Na wengi kutoka hapa ndo mtiti
Kwa iyo ulitaka tuseme Mungu ni mtu au object ili uje na theories zaidi?