Nafikiria kuhama Catholic

Mi wanapo nikwaza Wakatoriki ni Ibada ya
Kuisujudia Sanamu ya Kike tu:
Kwakweli wananikwaza sana hata Sina hamu:
Hii na Karne ya Kizazi kipya:
Siwezi kuisujudia Sanamu ya Kike ya SIMENTI kamwe
Ila sanamu ya Malaya samia,kahaba muuaji mpaka unaipiga busu au sio ?
 
Hama, sababu nyingi ulizotoa ni about you! Nenda huko ukajiongoze na wale watakuwa tayari kuongozwa na akili zako.
 
Huyo ni Galatia miaka ya nyuma aliwahi mpaka kuwa anatukana na kuukejeli Uilsamu.
Kihere here utakula enbe mbichi kabla via havijakomaa.

Huyo ni sheikh punje
 
Hama mapema ndio walijitenga kina MFALME WA ENGLAND SEMBUSE WEWE..

NA KUUNDA CHURCH OF ANGLICAN....unachelewa hama mapema Sasa iviii
 
Nafikiri bado hujajitambua vizuri, ya kuwa KANISA NI WEWE! MWENYEWE!
Siku ukijitambua vizuri, hutaendelea tena kujenga makanisa ya watu!

WENGI BADO WAMEFUNGWA NA HUU URAIBU WA DINI!

NA ILI MTAWALA YEYOTE ATAWALE BILA SHIDA, KANISA NA MISIKITI NDIO NGUZO KUU! Maana ukishika hizo nguzo, umezishika fikra za watawaliwa!
 
Hapo ni mwendo wa kubadilishana madhehebu.kuna wengine tunawaza kuhamia katoliki,mimi binafsi navutiwa sana na move Lao la kutetea haki.viva katoliki
 
Mawazo chanya tayari unayo. Sadaka zako elekeza kwa wahitaji, mfano wafungwa, wagonjwa, yatima, wajane na wazee maana hii ndiyo ibada inayomfurahisha Mungu wa Mbinguni. Na ukiishi hivi Mungu mwenyewe atakuinulia watu na marafiki wapya wengi sana. Lkn ukitaka kuzikwa vizuri kwa mapambio na jeneza kupelekwa kanisani na misa ndeefu... basi wekeza sadaka zako kwa ma padre na viongozi wa kanisa. Amua tu unataka lipi ?
 
Hapo ni mwendo wa kubadilishana madhehebu.kuna wengine tunawaza kuhamia katoliki,mimi binafsi navutiwa sana na move Lao la kutetea haki.viva katoliki
Hakuna kanisa linasimamia haki kama katoliki..Hata Mimi nawaaadmire sana Wakatoliki,,mambo yao jinsi yalivyo sytematic ,ibada taratibu zao they're are very smart kwa kweli.
Ila kwa sababu anataka kuheshimiwa Kanisani na kutambuliwa kusifiwa na kuwa appreciated sana
Basi hizi ministry za watu binafsi itakuwa mahali sahihi kwake.
Aombe Mungu Sasa asipate makanjanja..
 
Kuna kanisa Fulani niliwahi kusali
Sadaka zinatolewa chini madhabahuni
Mchungaji akiwa amesimama anamuamgalia kila mtu😂😂
Baadaye zinaokotwa kuwekwa kwenye chombo Sasa

Si heri hata huko katoliki chombo Cha kioo ila sadaka si mnaweka kwenye bahasha

Huyu mtoa mada akienda Kanisa la kuweka sadaka chini
Ndio atazimia kabisa

Tulieni katoliki
Roman Catholic is the best of All.
 
Usipate shida dogo kama una hama we hama tuachie kabisa letu katoliki la mitume nenda uko uko kwenye miujiza ndo kunako kufaa au kama unapenda kubong'oa basi nenda tu wanako bong'oa
 
Umechelewa hama haraka
 
Bora uachane nao, hao jamaa wana tabia za kutenga waumini wao , hasa ukiwa maskini siyo ajabu hata wasikuzike wanasema ulikua hushiriki , pesa ni mbele ila ukiwa tajiri hata kama ulikua huendi kanisani utazikwa
 
Hicho unachoongea kiko koote hadi katika jamii. Hivyo tulia tu hapo hapo, tenda mema na ishi maisha safi basi.
Pesa mwanaharamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…