Nafikiria kufungua saloon ya kiume kwa ajili ya usafi na urembo.

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,475
Reaction score
3,538
Huduma kama
1. Kusafisha kucha
Wanaume wengi wanajisahau sana suala la usafi wa kucha, unakuta kucha zimeweka weusi pembeni, nadhan pia ndio wanachangia kuongezeka kwa UTI na infection kwa wadada, kucha sharti ziwe safi.

2. Kupuliza perfume
Wanaume wengi wanaharufu kali wengine asili wengine kutokuoga na kuzingatia usafi, saloon itakua na perfume za aina mbali mbali, unaoita unachagua perfume, unapuliza unaondoka

3. Midomo kukauka na kubanduka banduka, lipshine iwasaidie zitakuepo
4. Mafuta puani/ usoni na madude meupe meupe,

Na huduma nyinginezo, suala la usafi lisichukuliwe kirahisi rahisi hata kidogo.
 
Hiyo saluni itakuwa imekaa kishoga sana
 
Unafanya na massage?
1000003518.jpg
 
Ushauri kucha hazileti uti
Ila kuoshwa kucha kwa wakaka ni ndoto sana.
Utawapata mashoga.
Jingine ungeweka massage na kuweka jinsi yakufua na kujifunza kuoga nakuwepo na sauna utawapata
 
Back
Top Bottom