LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,186
- 27,272
Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama wenzao wa English Mediums ili wakifika sekondari wasipate shida darasani.
Mimi nili chukua mkakati huu kutoka kwa dada angu mtoto wa baba angu mdogo.
Huyu sista angu " age mate wangu " ni mtundu mtundu na mpambanaji tangu tukiwa watoto.
Yeye anaishi Chang'ombe na watoto wake watatu wote wanasoma Wailes Primary. Mmoja kamaliza hapo hapo Wailes Primary na sasa hivi anajiandaa kwenda form five mwezi huu. Kwa maana ya kwamba alifaulu primary akaenda secondary ya kayumba akapata division two and now anaenda form five.( huyu ni mtoto wa kike " wa kiswahili " ambae amekulia uswahilini without a father figure around her"
Siku hiyo nikiwa nyumbani kwake nilishangaa kuona watoto wake wanaongea kiingereza vizuri as if wanasoma English Medium. Sio kuongea tu bali hadi kuandika wanaandika vizuri plus uelewa wao wa masomo mengine na dunia kwa ujumla ni mkubwa.
So I asked my sister watoto wake wanasoma shule gani?. She replied to me Wailes Primary ambayo najua ni Kayumba.
Mwanzoni nilidhani labda wanasoma " Chang'ombe English Medium ( ambayo ni ya serikali) but hell no! It was just a "mbali-mfalme" kayumba.
Up to this moment of time nilikuwaga na unyanyapaa mkubwa sana dhidi ya shule zinazo itwa shule za Kayumba utafikiria na Mimi sijasoma kwenye shule hizo.
So I asked her imekuwaje watoto wake wapo smart hivyo na kiingereza wanapiga vizuri hivyo, akanipa mkakati wake.
Watoto wake wanasoma kayumba lakini amewawekea tuition ya KIINGEREZA inayo fundishwa na mwalimu wa English Medium. Huyu mwalimu wa English Medium anawafundisha vitu vyote vya kiingereza ambavyo vinafundishwa kwenye shule za KIINGEREZA. Bei zake ni affordable. Anasema wapo walimu wengi wa English Mediums ambao wanafanya hivyo.
Watoto wanaanza kusoma kuanzia wakiwa la kwanza na chekechea"( topic zote za KIINGEREZA ambazo wanafundishwa watoto wa English Mediums na watoto wake wanazipata kama zilivyo)
Anasema huo ndio mkakati wake na umemlipa coz umeleta matokeo chanya kitaaluma kwa watoto wake plus imemsaidia kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ambayo angelazimika kuwa anayatoa huko English Mediums.
Baada ya kufanya " intelligence analysis" nika uelewa .mkakati wa dada angu. Nikaona una mashiko. I was like kwanini niende China kununua bidhaa ambayo naweza kuipata kariakoo?( usiende china) mbona hata Mimi mwenyewe nilisoma shule ya kiswahili na nilitoka vizuri ( miaka ya tisini karibu nchi nzima tulikuwa tunasoma shule za kiswahili, za kiingereza zilikuwa za kuhesabu so " vuguvugu" la English Mediums halikuwaga kihivyo.
So nikawatoa watoto wangu wawili English Medium nikawapeleka Kayumba. Kisha nikawawekea mwalimu wa kiingereza ambae anafundisha shule za English Medium na anawafundisha kwa kutumia vifaa na vitabu vya English Medium.
Watoto wanaendelea kufanya vizuri darasani. Kiingereza wanaongea na kuandika vizuri sana kwa sababu vitu vyote vya kwenye somo la KIINGEREZA wanavyo fundishwa wenzao kwenye shule za English Medium wanavipata kwa mwalimu wa Tuition.
Nimeondokana na stress za kulipa mamilioni kila baada ya miezi mitatu ili tu watoto wangu wajifunze kiingereza yes I mean it shule za English Mediums are technically vituo vya English course.
SO NATANGAZA FURSA ZA KUJIONGEZEA KIPATO KWA WALIMU WA ENGLISH MEDIUMS, WA KIINGEREZA, WALIMU WALIOPO VYUONI 'WANAFUNZI WA VYUO" KWENYE VYUO MBALIMBALI NCHINI, ambao wanataka KUJIONGEZEA kipato kwa kufundisha tuition ya somo la kiingereza kwa watoto wanao soma shule za kayumba kwa makubaliano kati yako na mzazi wa mwanafunzi husika, fanya kama.ifuatavyo.
Comment maelezo yako hapo kwenye comment section ukisema kata unapoishi na namba zako za simu ili kama kuna mzazi yupo kwenye kata hiyo na yupo interested basi akutafute.
Unaweza KUJIONGEZEA nafasi ya kupata wazazi wengi kama utajielezea sifa zako na uzoefu wako katika kufundisha somo la kiingereza.
Kama unaona tatizo kuandika namba zako za simu hapa unaweza kukoment kata unayopatikana kisha ukaalika watu pm. Kazi kwako and God bless.