Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Seran

Dada vipi hali! Aisee pole na majukumu pia hongera kwa moyo wako wa dhati wa kuzidi kuwapa wa hitaji fursa kutumia muda na bando kwa manufaa ya jamii ni jambo jema.

MWENYEZI MUNGU akufungulie milango yako ya ridhki dada.
 
Kwa wale ambao hatukubahatika kusoma mpaka form 4 huu uzi unatuuma vibaya mno. Kila kazi inayokuja ni english only sas darasa la 7 kama mbosso tutafikiwa kweri?
 
Ongeza na hii kipenzi
 

Attachments

  • IMG-20260705-WA0005.jpg
    IMG-20260705-WA0005.jpg
    102.7 KB · Views: 14
Back
Top Bottom